mungu

  1. GENTAMYCINE

    Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  2. M

    Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu

    Hapa tulipofikia katika Nchi hii, tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu, utume jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutoka kwenye mikono DHALIMU. Amina.
  3. Damaso

    Mungu ni mkubwa

    Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka. Unajifungua mwanao kwa mateso...
  4. D

    Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  5. a sinner saved by Christ

    Je Mungu ameruhusu tujifanyie /tutengeneze sanamu za kuchonga ?neno la Mungu linasemaje kuhusu kujifanyia sanamu??

    Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
  6. Marco Seth

    Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  7. S

    Kama Mungu ni wa wote, kwanini wengine wateseke?

    Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
  8. Genius Man

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema Mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea

    Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea. Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote. Mungu hayupo hivyo...
  9. SankaraBoukaka

    Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  10. U

    Kama ni kweli Wafu hawajui chochote kwanini Mtume Yohana alionyeshwa wazi wazi ROHO za. Wafu waliuawa zikimlilia Mungu awalipizie kisasi Watesi wao?

    Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
  11. Wazolee

    Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
  12. Setfree

    Ufafanuzi wa kina kuhusu Utatu Mtakatifu: Je, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ni Mungu watatu?

    Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?" Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
  13. J

    Amri 10 za Mungu ni Nini

    Amri 10 za Mungu ni Nini Amri za Mungu ni nini Amri za Mungu ni orodha ya amri kuu 10 za Mungu katika Biblia. Za kwanza nne zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani, yaani binadamu wengine kuanzia wazazi. Amri hizo zimeoneshwa katika kitabu cha Kutoka...
  14. E

    YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa...
  15. K

    Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha

    Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary. Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala yake mtumieni kwa manufaa ya taifa. Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza...
  16. Brain Kingdom

    Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  17. Setfree

    Una habari? Biblia ya King James ni Tafsiri iliyolindwa na Mungu kwa miaka zaidi ya 400!

    Kuna watu wanaohoji uhalali wa tafsiri ya Biblia ya King James Version (KJV). Wengine wanasema ni ya zamani, haieleweki kwa kizazi cha sasa, au kwamba kuna tafsiri mpya zilizo sahihi zaidi. Lakini je, kweli tafsiri mpya ni bora zaidi, au tuko kwenye harakati za kupunguza uzito wa Neno la Mungu...
  18. R

    Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  19. Setfree

    Je, ni kweli Mungu alishusha Kitabu kingine ili kusahihisha Maandiko yake ya awali yaliyopotoshwa?

    Kuna watu wanaosema kwamba Mungu alishusha Torati, Zaburi na Injili lakini wanadamu wakavichezea na kuvipotosha vitabu hivyo. Kwa sababu hiyo ikabidi Mungu ashushe kitabu kingine baadaye, ili kusahihisha maandiko yaliyovurugwa! Kama ni hivyo, Covax na wenzako, naomba mnisaidie kujibu maswali...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Uzinzi Ndio Adui Mkubwa wa Kibali chako ulichopewa na Mungu

    Uzinzi siyo tu dhambi ya mwili, bali ni silaha kali ya adui inayotumika kuvunja, kuiba, na kuharibu kibali ambacho mtu amepokea kutoka kwa Mungu. Katika ulimwengu wa roho, kuna vitu ambavyo si rahisi kuviona kwa macho ya kawaida, lakini vina uzito mkubwa sana katika maisha ya kiroho na kimwili...
Back
Top Bottom