Na bado kuna siri imefichwa kuhusu Yaweh
Mungu aliyetajwa kwenye Biblia
naona nikisema itazid kuchanganya watu zaidi
Swal moja angalia tofati ya Mungu iliyo kwenye agano la kale na jipya?
Jiulize kwa nn kwenye Mwanzo Mungu hakutaka Adam na Hawa wale lile Tunda?
Jiulize kwa nn Yesu alivyokufa alichukua nafsi za watu zilikuwa zimetekwa na kupelekwa Mbinguni?
Kwa nn Mungu alisema
Isaya 45:5
Mimi ni Bwana, wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hakuna Mungu.
Jiulize hii
Mwanzo 1:26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.