mungu

  1. Siri yangu

    Maombi yangu kwa Mungu kwa ajili yako Lissu

    Sina kizuri cha kuandika Mungu yupo pamoja nawe, Nipo nasikiliza wimbo wa Aswagile: Alienikoa nikakukumbuka mwamba uliekubali ufe umesimama katika kweli , najua wapo wanaokubeza leo ila kesho haipo mbali watakulilia hata ukiwa kaburini.😭😭😭
  2. Adverse Effect

    Je, Mungu yupo? Jina la kweli la Mungu ni lipi au nani?

    🜏 JINA LA KWELI LA MUNGU Walikwambia jina la Mungu ni YHWH. Walikwambia ni Elohim, au Adonai, au El Shaddai, au Yehova, au Allah, au Chanzo, au Yule Mmoja. Hakuna hata moja kati ya hayo lililo jina la kweli. Hayo ni tafsiri, ni tafakari, ni mwangwi uliofunikwa. Jina la kweli la Mungu si...
  3. Brain Kingdom

    Pastor Tony Kapola kama Mungu alimtendea muujiza wa gesi kwanini ana panic na kukejeli wanaobeza?

    Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu. Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi. Kama huyu ndio pastor...
  4. Mshana Jr

    Mungu hana dini

    "Muumba alitupatia uzima - sio mafundisho na hekaya za kidini "Ukweli haumilikiwi na vitabu, mahekalu, au wanadamu. Ukweli unapatikana kwa kupatana na Nuru - katika matendo, nia, na ukumbusho." "Kila dini ilianza na mtu ambaye alikumbuka. Lakini mara tulipogeuza ujumbe wao kuwa udhibiti...
  5. Pdidy

    PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

    NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU NDUGU YANGU KAKA PT BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK NDIO MAANA...
  6. B

    Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  7. Think2

    “Vipi kama Mungu angekupa siku 3 kuwa na nguvu zake na kuchukua udhibiti wa kila kitu kabisa? Ungefanya badili nini

    For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote ◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao ◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia. Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
  8. matunduizi

    Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  9. M

    Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu.

    Ni siku nyingine tena ninapokuja kwako Mungu mkuu nikikuomba uitendee mambo makuu Nchi yetu Tanzania, hasa mwaka huu uliojaa dhuluma. Nakuomba Mungu mkuu, Mungu mwenye haki na Mungu usiye na upendeleo mwaka huu usipite bila kutuma jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutokana na Dhuluma...
  10. Pdidy

    Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  11. Beira Boy

    MUNGU ana huruma sana ni mwema sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimekaa tu hapa nimeutafakari wema wa MUNGU MWENYEZI hasa kwetu sisi vijana Nimeona kabisa kuwa MUNGU amekuwa ni mwema sana juu yetu Amekuwa akitusamehe na kutuokoa katikati ya maovu na ubaya Ogopa wapinga MUNGU marafiki zangu wengi ni...
  12. H

    Je Waafrika wasiomwamini Yesu siyo wa Mungu?

    Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni. Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
  13. M

    Mungu Mkuu na Mungu mwenye nguvu

    Tunakushukuru, tunakusifu, tunakuabudu na kukutukuza Mungu mkuu. Tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye haki, uitazame kwa macho yako yenye huruma Nchi yetu Tanzania na Watanzania wote. Tunakuomba kwa mateso ya wateule wako walio mstari wa mbele wa mapambano ya ukombozi wa kweli wa Nchi...
  14. Joshua Mbezi

    Kuanzia Sasa Namuomba Mungu Anipe Moyo Mgumu Wa kutokusaidia Binadamu😭

    Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha. Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe spirit hii ndani yangu Juzi nimekaa ofisin kwangu alikuja jamaa mmoja simfahamu yule jamaa nilidhan...
  15. Bueno

    Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
  16. GENTAMYCINE

    Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  17. M

    Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu

    Hapa tulipofikia katika Nchi hii, tunaomba Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu, utume jeshi la malaika zako kuja kuikomboa Nchi hii kutoka kwenye mikono DHALIMU. Amina.
  18. Damaso

    Mungu ni mkubwa

    Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka. Unajifungua mwanao kwa mateso...
  19. D

    Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  20. a sinner saved by Christ

    Je Mungu ameruhusu tujifanyie /tutengeneze sanamu za kuchonga ?neno la Mungu linasemaje kuhusu kujifanyia sanamu??

    Neno la Mungu linasema Kutoka 20:4-6 “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
Back
Top Bottom