mungu

  1. chiembe

    Rwanda ilifungia makanisa 8000 na nchi iko salama. Kanisa la Gwajima ni sahihi kufungiwa

    Rwanda ilifungia makanisa 8000 ambayo yalikuwa yanaendesha shughuli zake kihuni. Mungu wa mbinguni yupo, na nina imani uamuzi ule Mungu aliukubali kabla hata serikali haijautoa. Kanisa LA Gwajima ambalo linatumika kama pango LA kihalifu kutukana serikali, viongozi, na kuchochea uvunjifu wa...
  2. Papillon 1906

    Mungu wape radhi ndugu zetu vipofu na vilema siku ya hukumu

    Kama mungu ameahidi kuwa hurumia na kuwapa pepo wagonjwa wa Tauni apa duniani, aangalie kwa jicho la pili awa ndugu zetu waliozaliwa na kilema cha kuongea au kusikia au kuona maana wanapata shida katika moja na mbili. Vuta picha mtu kazaliwa kipofu hajawai kuona jinsi gani ulimwengu ulivyo...
  3. Mganguzi

    DC Msando anajaribu kutaka kuwa Mungu wa Ubungo!? Anataka kuwa kama Sabaya wa wilaya ya Hai! Msando anahisi atakuwa kiongozi milele yote

    Naanza kupata hisia kwamba anaepeleka askari Kila jumapili kuwasaka waumini wa ufufuo na uzima mabarabarani na makanisani ni msando ! Waziri mkuu ,ama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kufanya ujinga na utoto wa aina hiyo ! .rais hawezi kutoa maagizo au order za kijinga kama hizi...
  4. N

    Kama ni Mwenyezi Mungu alietuumba tuwe na matamanio ya kimwili sio sahihi kwa maaskofu na masista kuishi bila ndoa, ni kudharau uumbaji

    Kwa binadamu mwenye afya hasa kijana ni lazima apate matamanio ya kimwili, kwa kiingereza huitwa Libido, kwa kiswahili kuna majina kama Nyege, Upwiru, Midadi. Njia sahihi ni kuutoa kupitia tendo la ndoa kwa wanandoa. Hawa ma Askofu na Ma Sista wanaoishi bila ndoa inamaanisha moja kwa moja...
  5. U

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  6. matunduizi

    Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  7. Munch wa Annabelle

    Yesu sio Mungu

    Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote. Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito Arianism
  8. I

    Je kuna uwezekano yaliyosemwa kwenye Biblia na manabii wa Mungu yanatimia kwa sasa?

    Habari za wakati huu popote ulipo.Je yaliyosemwa kwenye biblia yanatimia kwa sasa? Katika biblia kuna ujumbe juu ya ishara na matukio mbali mbali yatakayo tokea kipindi tunaelekea wakati wa ujio wa mwana wa Adam. Biblia imetaja juu ya vita kati ya taifa na taifa,falme na falme na...
  9. Setfree

    Njoni muone mawe yanayomsifu Mungu. Ni ajabu na kweli!

    Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu siku ile ya mitende, watu walitandika mavazi yao chini na kuushangilia ujio wake kwa sauti kubwa, wakisema: “Hosana! Amebarikiwa mfalme ajaye kwa jina la Bwana!” (Luka 19:38). Lakini Mafarisayo walikasirika, wakamwambia Yesu awanyamazishe hao watu. Ndipo Yesu...
  10. Carlos The Jackal

    Nabii wa Mungu ampa Rais Samia Ujumbe wa Mwisho "Mama Fungua Kanisa" unamgusa Mungu

    Mimi binafsi niliwahi Sema humu, "Rais Azungukwe na Watu wa Dini, Wazee wa Hekima na Busara ". Ni hatari sana Rais Masikio yake yasikie habari za Uchawi, Waganga, na Mambo ya Hovyo kama hayo Ndio hao wanamwambia "Mama Fungua tu Hilo Kanisaz kwanza Gwajima ni MTU wa Shetani, fungiaaaa ". Uovu...
  11. Just Pray

    GE2025 Catherine Ruge: Nimesikia sauti ya Mungu, nitagombea Serengeti

    Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
  12. Fbn

    Hivi kuna Koo au familia ambazo kama Mungu kazipa upendeleo na nyingine kuzinyima

    Sio mzuri wa dini ila kuna maelezo yanaeleza hayo. Unakuta kuna koo au familia yani wao kupata kazi ni kawaida ila wengine hata wafanyeje ni ngumu. Nimeshuudia familia moja yani wao wote kama wanangekewa na wanazikataa yani jamaa anaacha kazi na kutafuta kazi nyingine na alipoacha...
  13. Nyanda Banka

    Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

    Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu...
  14. matunduizi

    Jiangalie kama Mungu anavyokuangalia sio kama watu wanavyokuchukulia

    Mwenyezi Mungu anapokuangalia Bado anaona ndani yako uwezekano mkubwa wa KUWA Bora kuliko ulivyo Sasa. Watu wanaweza kuona mwisho wako utakuwa hivyohivyo, lakini Mungu wako anaona uwezakano mkubwa wa kukupandisha VIWANGO vya juu zaidi ya ulivyo Sasa. Inategemea unatumua muda mwingi kusikiliza...
  15. S

    Walaamu serikali na chama tawala na unabii kuombea mabaya watawala hawako Mungu ndiye aliyewaleta duniani hangakieni na yeye tu sio CCM au serikali

    Walaamu serikali na chama tawala na unabii kuombea mabaya watawala Mungu ndiye aliyewaleta duniani hangakieni na yeye tu sio CCM au serikali Mi frustration yenu na kutoa Nabii feki na maombi koko kulaani CCM au serikali nk mnapoteza bure maombi yenu Mungu hajawahi anzisha chama cha siasa iwe...
  16. T

    Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

    Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa 2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za...
  17. D

    Wanaufufuo na watu wote mnakaribishwa kesho tujumuke kwa ajili ya bwana Mungu wetu

    Ndugu zangu wapendwa huu ndiyo wakati wa kuwa imara zaidi kuliko wakati wowote. Simama na mathayo 10:28 HATISHWI MTU Kumbukeni hili msije kusahau hata siku moja! Mungu yupo pamoja nasi wakati wote, Yeye mwenyewe Alisema DUNIANI MNAYO DHIKI LAKINI JIPENI MOYO, MIMI NIMEUSHINDA ULIMWENGU (Yohana...
  18. K

    Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

    Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
  19. Ojuolegbha

    Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia

    Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia
  20. matunduizi

    Bado Mungu anakupenda

    Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
Back
Top Bottom