Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii.
Na ikumbukwe, juzi alitoa wasilisho lake mbele ya Mahakama ya Kisutu kabla ya tarajio la kesi yake...
Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu.
Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God.
Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania.
Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu Pastor mmoja huko Ghana, na alimtaja Kwa jina, japo ikaleta Maneno mengi Toka Kwa Pastors na Bishops...
Mungu aliahidi jambo hili katika kitabu cha Mwanzo 12:3 alipomwambia Ibrahimu ya kuwa:”….Nitawabariki wakubarikio….Na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa”. Unaweza kuungana nasi katika kuibariki Israeli kwa njia zifuatazo:
1. OMBEA NCHI YA ISRAELI
Nchi ya Israeli haipo pale kama nchi...
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.
Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Hamjambo!
Kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu Yule aliyewaumba.
Mambo unayotakiwa kuyajua;
1. Mungu hajihusishi na utawala na wanadamu tangu wanadamu walipoamua kujiongoza wenyewe na kuongozwa na Wafalme na Marais.
Hilo ni jambo Moja.
2. Hii ni kusema, kwa vile tuliamua kuongozwa na...
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo.
Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa.
Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
📖 Mathayo 5:27–28
"Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais.
Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea...
Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani...
Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17).
Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula:
1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu.
Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu.
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo.
Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
[Yoh1:6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
[Yoh1:7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
[Yoh1:8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
[Yoh1:19]Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma...
Naona zama za kupita kwenye bonde la mauti zimekaribia. Waliokabidhiwa taa kutuvusha hawana macho tena na kadri wanavyopambana kuweka mambo sawa ndivyo wanavyozidi kuharibu. Nahisi imeandikwa na lazima itimie.
Ukiangalia mtiririko wa matukio unaona kabisa tunaelekea kabisa kubaya.
Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa.
Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.