mungu

  1. JamiiForums Tanzania Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

    Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

    Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
  3. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  4. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye Corona Tanzania viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu, wanaamini sayansi

    Ukisikia utapeli kwenye dini njoo Tanzania. Nilichojifunza kwenye Corona Tanzaia viongozi wengi wa dini kubwa za Kikristo hawamwamini Mungu wanaamini sayansi na sio Mungu wanayemsingizia kuwa aliwaita wamtumikie. Kuamini Mungu kuwa aweza Saidia vita dhidi ya Corona kumebaki Kwa waumini wa...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa Stars imeshinda kwa kudra za Mungu tu, haikustahili

    Huu ndio ukweli unaofichwa, shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu pekee, baada ya Stars kufunga goli, dk zote zilizosalia tumepumulia mashine, kuna wakati nimeshangaa wachezaji wa Namibia kukosa magoli ya namna ile mbele ya difensi yetu mdebwedo kiasi cha kushangaza na kuleta maswali ya kutaka kujua...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mungu hana upendeleo?

    Habari wadau! Huwa namtafakari sana Mungu,je ni kweli hana upendeleo kwa wale wanao amini kama kuna Mungu naombeni jibu. Binafsi naona kama kuna watu wamependelewa sana wao na familia zao zimependelewa naona mpaka uzao wao pia unazidi kupendelewa. Au kuna Miungu tofauti tofauti kila mtu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

    Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo. Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

    Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote. Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna jambo kubwa sana kujifunza haswa kwenye mahusiano na hata kwenye malezi. Kwa wale waamini wa Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Nyie madogo mnaofaulu mitihani acheni kuwadanganya wenzenu kuwa mnamtegemea Mungu

    Ukisikiliza vijana wengi waliofanya vizuri kwenye mitihani yao wanadai ni Mungu tu. Maswali ya kujiuliza 1. Swali linakuja je waliofeli wao hawakumtegemea? 2. Hawakusoma ila Mungu ndio aliwapa majibu au? 3. Kuna wasioamini Mungu lakini wanafanya makubwa,wao wanamtegea nani? Ushauri wangu kwao...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu ndani ya Gereza

    Mimi ni kijana mkimya niishiye Romani, mwenye umri wa miaka 20 nami ninafurahia kusoma shuhuda binafsi. Mara ya kwanza nilipokutana na Mchungaji Mwadventista, aliniuliza, "Ni aina gani ya vitabu upendavyo kuvisoma?" Nilimweleza kitabu ambacho nilikisoma mara ya mwisho, ushuhuda binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mwaka mpya wa 2021 na shukurani kwa Mungu kwa kutuvusha

    Maombi ya kuuaga mwaka wa 2020 na kuukaribisha mwaka mpya 2021. E Mungu Muumba mbingu, nchi na maji. Nakushukuru kwa kuwavusha watanzania wezangu salama katika mwaka wa 2020 na kuwakabidhi mwaka mpya wa 2021. Mungu mwaka ulio upita utufundisha mengi sana ila moja kubwa tulilo kubushwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  14. JamiiForums Tanzania Usipite bila kusema shukurani hizi kwa Mungu / Allah kwa mwaka 2020

    Should we thank GOD/ ALLAH ?! Mungu vinywa vyetu vimejawa na maneno ya Shukrani. Tunashukuru kwa ajili ya 2020, umekua nasi January mpaka December. Asante kwa yale ambayo umekwisha kuyafanya, asante kwa yale ambayo bado hujayafanya, asante kwa yale ambayo umefanya kwa sehemu tuu, Tunaomba...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wini ulichotufanyia hapa Mungu anakuona!

    Uzi tayari!!
  16. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Japokuwa Wapinzani mnamchukia Mkuu wa Kaya, lakini Watanzania wanamshukuru Mungu kuwa na Rais kama huyu

    Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu hasa vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu. Kila Mtanzania anafahamu jinsi ugonjwa wa Covid 19...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa dini usihubiri amani ya kisiasa bali hubiri amani ya Mungu

    Ndugu zangu kuna tofauti kubwa kati ya amani ya kisiasa na amani ya Mungu. Amani ya kisiasa inapatikana kwa kufuata sheria zilizomo ndani ya katiba ya nchi. Wakati Amani ya Mungu inapatikana kwa kutii sheria za Mungu na kuyafuata na kuyatii maandiko ya Neno la Mungu. Amani ya Mungu...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu tukisema twende kanisani kila siku Mungu atashusha gharika

    Habari za Chrismas wana JamiiForums leo nadhani ni hamsha hamsha kila sehemu nami nikaona isiwe tabu ngoja nianzie church KKKT UKONGA Wakati naingia jua lilikuwa kali na km Unavyojua sisi wengine hatuendag church nahis leo hata shetan alishangaa maana laiti wangejua mambo ninayofanya na...
  19. JamiiForums Tanzania Sikiliza na heshimu sauti Mungu

    Mwanaume mmoja tajiri alikuwa anataka kuoa, lakini hakujua atamuoa nani maana kila msichana alikuwa akijisogeza sogeza kwake naye aliogopa kutokana na kizazi hiki kilicho jilaani chenyewe. Basi akaamua kumuomba MUNGU ili aweze kumfungua macho ya rohoni aweze kumuona mwanamke sahihi wakumuoa...
  20. JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…