Mungu anapofanya kitu kwako. NAwe wakumbuke wengine pia. Usiwe mbinafsi. Ukifanikiwa kupata usiwadharau waliokosa na kuamini kuwa wao ni wazembe.
Kupata ni Majariwa. Unamwona ng'ombe pamoja na ukubwa wake? Hana ndevu. Ila mbuzi anazo. Utashangaa kweli kupata ni majariwa ndugu yangu. Lakini na...
Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM.
Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki!
All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
Habarini leo narudi tena
Kumekuwepo na makundi mawili hapa duniani ambayo kwa sasa ni kama yanavutana hivi, lengo uzi huu sio kubeza watu ila ni kujaribu kuwekana sawa juu ya haya mambo ya muumba
Kila mtu au jamii ina tafrsiri yake juu ya neno muumba.. kwakuwa mimi ninaamini juu ya uwepo wa...
Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini.
Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilivyozaliwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu?
Binafsi Sina huo ujinga wa kuabudh kina Mungu wa jamii zingine ni utumwa wa kifikra na kutojitambua...
Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo?
Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
Bwana Yesu Asifiwe : Kwa Moyo Mkunjufu Ninakukaribisha Katika Mfululizo Wetu wa 4 wa Kitabu Hiki cha MUONE MUNGU NYUMA YA PITO LAKO.
Kumbuka ni katika Mfano wa 3 wa Hamani; lakini mi katika mada yetu ileile ya 1. Jinsi Ambavyo Mungu Anavyoweza Kuwa Nyuma ya Jambo Gumu Linalokukabili.
Karibu...
Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba.
Njemba...
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)
Kwa...
From X
Umetimiza siku 340 leo Gerezani.
Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia.
Uzuri ni kwamba historia haidanganyi.
IKO SIKU!.
Ni kipaji cha hali ya juu kama sio upendo wa agape. Niwapongeze mnaoenda uwanjani kuangalia mechi za usiku
Mbarikiwe sana sana
Mnaofunga mpoo uwanjan nanyi Comgola yenuuuu
A:UPANDE WA WENYE HAKI
Mith 11:20
Tunaitwa kuwa wakamilifu katika utume wetu, tukitenda yatupasayo, katika njia sahihi. Ni katika kuwa wenye haki tu ndipo tutaweza kuurithi uzima wa milele.
Yakobo 5:16
Maombi ya mtu mwenye haki yana nguvu na huleta matokeo.
Zaburi 34:15
Macho ya BWANA...
MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE.
Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu.
Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu.
Kama ilivyoelezwa katika Biblia
1...
Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki.
Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha)
Dimension hizo ni
-3D
-4D
-5D
3D(dimension)
Hii ni level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.