Chukulia huu mfano:-
Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni.
Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha.
Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha...
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji).
Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi
Dharau
Majibu ya hovyo
Kiburi
Muongo
Mgomvi
mchawi
Infidel
Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna anayeweza kumbadilisha zaidi ya yeye mwenyewe kuamua kubadilika. Hakuna lugha nyepesi ninayoweza...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Habarini wajukuu wema na wabaya. Nimeletewa mashitaka na huyu kijana mwenye ndoa ya miaka mitano sasa.
Anasema alitahadharishwa na watu kuwa unaoa dada wa Kilimanjaro, jiandae kwenda kunyimwa tendo la ndoa, hakuwasikiliza. Sasa yamemfika. Anadai kuwa wanaweza kukaa hata miezi sita bila...
Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara.
Inasadikika kuwa chanzo...
Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha.
“Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa.
Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.
Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu...
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa.
Chanzo: Azam TV
JESHI la Polisi Mkoa wa...
Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi.
Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo.
Miaka kadhaa baadae, mume wa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao.
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
Kama Raia wa nchi anaweza kuanzisha ofisi yoyote na ikawa halali kikatiba, vipi siku Rais akiamua kuanzisha wadhifa wa Mfalme au Malikia na akamteua mwenza wake au mtu mwingine yoyote yule kushika wadhifa huo, si pia atakuwa sahihi?
Hata kama Katiba yetu inatambua Tanzania sio nchi ya kifalme...
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama
Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
Aisee itakushangaza ila jua tu kwamba hapa duniani kuna mambo mengi sana ya kushangaza na kukuacha mdomo wazi hili likiwa mojawapo la huko Marekani ambapo unaambiwa mwanamke mmoja amemuomba mumewe amletee ex wake angalau afurahie tena mapenzi kwa mara ya mwisho kabla hajafariki.
Mwanamke huyo...
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.
Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama...
Ni katika hali ya story za kuhusu masuala yanayohusu mazingira tunayoishi, Hapa namaanisha kuhusu usafi na mengineyo na Mimi ni single boy hivyo sina wa kusimamia masuala hayo zaidi ya mimi mwenyewe ndipo tukajikuta tunazungumzia masuala ya mahusiano na ndipo mwanadada huyu akaenda direct kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.