mumewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

    Zayd bin Harithah ni nani? Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana. Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda. Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa atokomea kusikojulikana na mali zote za mumewe pamoja na kiasi cha Shilingi milioni tano

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Zaylisa anaposema kuwa Mumewe Haji Manara hajui Kukumbatia na huwa Wanagombana mara kwa mara juu ya hilo wanataka Kutulazimsha tuhisi nini labda?

    Amesikika katika Mtandao mmoja akilalamika sana hivyo ninaomba mnaokumbatiwa na mnaokumbatia mtueleweshe.
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

    Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua. Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ya mke kumua mumewe kwa kipigo baada ya kuwa chaulevi?

    https://www.youtube.com/watch?v=8_9k1D_x6gs Siongezi neno. Jamaa aitwaye Daudi kapata kipigo toka kwa mkewe na watoto wake na kupoteza maisha. Hebu tudurusu kadhia hii wakati tukijikumbusha kuwa kuna wanawake wengi wameuawa na wanaume wengi tu. Je hapa ni kile kisa cha mbwa kumng'ata mtu ikiwa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

    Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

    Wakuu kama inavyojulikana kwa kawaida simu ya mke ndiyo simu rasmi kwa kila mwanafamilia (akiwemo baba) kuitumia kwa uhuru kabisa maana vyote (vikiwemo hiyo simu na huyo mke mwenyewe) hivyo ni mali ya baba. Sasa kama mke/mama hataki kutoa password ya simu imekaaje hiyo? Kuna ustawi wa...
  11. wasumu

    JamiiForums Tanzania Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

    Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa. Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Helena Ceausescu mwanamke mpenda shahada aliyejiponza na kumponza mumewe

    Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu. Huyu mama alipenda udaktari. Alitumia madaraka ya mumewe kulazimisha vyuo vimtunuku shahada za heshima. Hakuishia hapo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Je!! Kuna haja ya kumfata mumewe kituo kipya cha kazi??

    Mume na mke wana watoto 3, hawana maelewano mazuri kama mwaka hv ilipelekea kulala kilamtu chumba chake,,, Sasa mwanaume kapata uhamisho kazini anahamia mkoa mwingine bidada ndio anaomba ushauri kuna haja ya kuhama wote??? Au amuache tu jamaa aende yeye abaki na watoto maana pia wamejenga +...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanamke anapotangulia kufariki mume naye huwa hachukui siku nyingi?

    Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme 👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi? 👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki Mifano halisi 👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata 👉Mzee Kigunge alianza...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

    Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

    Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus...
  17. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

    Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili. Tukio lile lilileta...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa kuna mwanamke anaweza kuona pesa mumewe aliyoisahau kwenye suruali akamrudishia?

    Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga 😂 Ili kujihakikishia kama ni kweli nimesahau au laa, nakumbuka jumapili nilikuwa na elfu 80 dogo alikuwa anaumwa hivyo nikachomoa elfu 30...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukifiwa na dada yako, Je ushemeji kwa mumewe utaendelea?

    Chukulia huu mfano:- Dada yako ameolewa na John, na wakabahatika kupata watoto wawili; na watoto hao wanasoma shule ya msingi bweni. Baada ya siku kadhaa, dada yako akaugua na umauti ukamkuta; mkafanya taratibu za mazishi na mkakamilisha. Sasa John (mmewe dada yako) ameshindwa kuvumilia maisha...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji). Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
Back
Top Bottom