mumewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

    Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
  2. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

    Straight to the point, huyu mwana mama yupo Dar es Salaam nami nipo mkoa mwingine. Huwa tunawasiliana mara Moja Moja story za shule maana ni school mate ila alinizidi vidato kadhaa. Tukiwa shule alikuwa kama dada yangu na nilimheshimu hivyo na ikaisha hivyo alifanikiwa kwenda university Fulani...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

    Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji...
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Binamu kaja na mumewe msibani lakini analazimisha tuchepuke

    It is no joke, nikijua mke wangu yuko hivi, ni bora tutengane tu. Tuko msibani kwa Uncle, binamu kaja na mume wake, lakini anamkwepa anataka tufanye vitu vya ajabu. Huku ni kutaka kunivunjia heshima katika familia, imebidi niondoke haraka haraka kutunza hesima yangu. Nilichoamua, ni marufuku...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kapigwa kipigo kikali na mumewe hadi kapoteza fahamu, mdomo umemponza

    Hapa ninapopanga, jirani yangu usiku wa kuamkia leo katembezewa kichapo kikali sana. Huyu Mwanamke ni mzuri tu, lakini tatizo lake mdomo tu. Tatizo lake ameshindwa kufahamu kuwa, mume wake ni chapombe. Huyu mume wake ni muungwana sana, lakini akilewa ukaanza msumbua lazima atembeze Mandonga...
  6. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanamke aliye bora kwa mumewe anatakiwa awe na sifa gani?

    Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe. Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu amekiumba katika jinsia mbili ambayo ni jinsia ya kike na jinsia ya kiume. Ninapozungumzia mwanamke bora...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani: Vanessa Bryant kulipwa zaidi ya Bilioni 37 na waliosambaza picha za ajali ya Mumewe

    Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika...
  8. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe

    Jamani mshahesabiwa huko? Wandugu Kama mjuavyo penye msiba hapakosi kilio... huyu hapa chini ni mke wa hayati Mrema akimlilia mumewe kwa uchungu... Wanazengo wengi wametoa maoni yao kwamba hiki sio kilio cha kweli kwani mliaji wa ukweli hawezi kulia na miwani, pia mliaji wa kweli anatoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

    Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

    Africa ya Kusini Huko, Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi. Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari...
  11. hamisi ndingo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    habari kamili see my linkedln Academia or Google Scholor
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Manka: Aliambiwa apike wali nazi na mumewe akaweka nazi nzimanzima

    Sifa moja ya mwanamke ni kujua kupika Kuna hii story ya Manka aliolewa na jamaa wa pwani akaachiwa mazagazaga na mumewe akaabiwa apike wali nazi. Alichofanya anakijua mwenyewe, nazi ikawekwa nzimanzima kwenye wali. Manka anawakilisha wanawake wengi msiojua kipika. Kuna wakati wanaume...
  13. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Mke aolewa na jirani baada ya mumewe Kupooza

    Wakaazi wa kijiji kimoja nchini Zambia wameachwa na mshangao baada ya mwanamke kuolewa na jirani yake wa karibu wakati mume wake wa miaka mingi mumewe alipooza Rabison Mawere kutoka mtaa wa Mtendere mjini Lusaka alisema aligundulika kuwa na ugonjwa ambao ulimuandamana Oktoba 2021. Akizungumza...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyeandika insha juu ya jinsi ya kumuua mume ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua mumewe

    Mwandishi wa kitabu chenye jina lisemalo 'Jinsi ya kumuua mume wako' kutoka nchini Marekani aitwaye Nancy Crampton Brophy, mwenye umri wa miaka 71 amehukumiwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mume wake aliyoyatekeleza mwaka 2018. Imeelezwa kwamba tukio la mauaji...
  15. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini. Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muuguzi wa Kenya auawa na mumewe aliyempata Hospitalini hapo

    Lydia Nyaguthii, muuguzi wa Hospitali ya Tumutumu PCEA, Kaunti ya Nyeri ameuawa na mwenza wake, Stephen Muriithi ambaye walikuwa kwenye uhusiano kwa miaka 20 baada ya kukutana hospitali wakati Stephen alipofika hospitalini hapo kupatiwa matibabu Lydia alimhudumia Stephen aliyemwagiwa maji ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alivyomsaidia mumewe kumbaka mwanawe wa miaka minne

    Inaelezwa tukio hili lilitokea Mbarali, mkoani Mbeya bila kuripotiwa. Hiki ni kisa cha kusikitisha cha mtoto wa miaka minne, *Jane Mwikila (si jina halisi), aliyebakwa na baba yake wa kambo na kuharibiwa sehemu za siri huku mama yake mzazi akisaidia kutekelezwa kwa unyama huo. Elias...
  19. scientificall

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa Mjamzito kuumwa tumbo mumewe akichepuka?

    Kwanza nawasalimuni nyote kwa jina la Jamii Forums nanyi itikieni mahusiano mapenzi na urafiki vidumishwe. Kuna rafiki angu kijana lika langu japo tunazidiana about 2 years yeye ameoa lakini mimi sijaoa. Kwa mara nyingi tunapeana michongo ya pesa na kusaidiana kimawazo na kifedha ili kusogeza...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwijaku,"Mke wa Alikiba amekula maisha mazuri, mumewe hajatelekeza ndoa"

    Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake. Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kutumwa na Alikiba kumuwakilisha kwenye mkutano...
Back
Top Bottom