Marekani: Vanessa Bryant kulipwa zaidi ya Bilioni 37 na waliosambaza picha za ajali ya Mumewe

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mahakama imeamuru Mjane wa Kobe Bryant kulipwa Tsh. 37,312,000,000 sawa na Dola za Marekani Milioni 16 baada ya kuthibitisha kuwa Maafisa wa Polisi na wa Zimamoto wa Kaunti ya Los Angeles walisambaza picha mbaya za ajali za nyota huyo wa NBA, na binti yake, pamoja na wahanga wengine katika ajali ya helikopta 2020

Majaji tisa waliokuwa wakisikiliza kesi hiyo kwa kauli moja walikubaliana kuwa maafisa usalama hao walivamia faragha yake na kumletea mfadhaiko wa kihisia

Aidha, Mlalamikaji mwenza wa Bryant, Chris Chester, ambaye mkewe na bintiye pia walikuwa miongoni mwa watu tisa waliofariki kwenye ajali hiyo, atalipwa Dola Milioni 15

..........................................

Kobe Bryant’s widow was awarded $16m as part of a $31m jury verdict on Wednesday against Los Angeles county after deputies and firefighters shared grisly photos of the NBA star, his 13-year-old daughter and other victims killed in a 2020 helicopter crash.

The nine jurors who returned the unanimous verdict agreed with Vanessa Bryant and her attorneys that Los Angeles deputies and firefighters taking and sharing photos of the crash victims invaded her privacy and brought her emotional distress, even though the photos did not become public.

Bryant’s co-plaintiff, Chris Chester, whose wife and daughter were also among the nine people killed in the crash, was separately awarded $15m.

The pictures were shared mostly between employees of the LA County sheriff’s and fire departments, sometimes in the context of entertainment, including by some employees who were playing video games, and others attending an awards banquet. The images of the crash were also seen by some of the employee’s spouses and in one case by a bartender at a bar where a sheriff’s deputy was drinking.

Vanessa Bryant tearfully testified during the 11-day trial that news of the photos compounded her still-raw grief a month after losing her husband and daughter, and that she still had panic attacks at the thought that they might still be out there.

Sources: CNN, THE GUARDIAN
 
Kwahiyo hizo fedha ndio zitampa amani na furaha? Picha zenyewe hata hazikuwa public.

Anyway ni somo zuri kwa mamlaka kutopiga picha victims.
 
Back
Top Bottom