mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mke hawezi kukaa kwa mume ambaye si mwanamume kweli

    Kuna watu wanajiona ni wanaume na hata huwa wanaoa wanawake na kuzaa nao lakini kiuhakika wake si wanaume kweli.Kama wanawake wangekuwa si uwanawake wao basi wangewakataa mapema kabla ya ndoa. Wanaume hao ninaokusudia wanajulikana kwa namna nyingi sana wa mwanzo kabisa ni wale wanaochukia...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  3. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mume akiamua kumpenda mkewe anapenda vizuri sana

    Copy na kupaste.👇 MUME WANGU, SIWEZI KUSHINDANA NA MABINTI WADOGO WA MJINI. Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao.. "Darling...." Akamuita mumewe.. "Yes.." Mume akaitika... "Unanipenda?" Akamuuliza mumewe ambae alikua busy akifunga tai...
  4. Phobia

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimepata mwanaume mwingine nae ni mme wa mtu

    Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu! Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila kitu, ananijali na sijawahi kukutana na mke wake, hata sijui kama ananifahamu kwani huyu mwanaume ana...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

    Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

    Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika. Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee. Sasa Je...
  8. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

    Ndugu zangu.. Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia. Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia...
  9. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya. Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu sumu kweli?

    Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena...
  12. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

    Kama mada ilivyo... Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli. Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya kutalikiana Mr and Mrs Raqey Muhammed, mume ataka kumrudia mkewe baada ya kugundulika ana cancer

    Wengi wetu wahenga tunaijua hii couple Raqey ni mtu mwenye historia ya kusisimua katika kujitafuta kwake mpaka kujipata (zero to hero) Sarah pia ni mwanamke mrembo na mpambanaji sana, kajipata kwenye biashara ya chakula Kwa pamoja historia yao ya mapenzi mpaka ndoa ilikua ni nzuri sana...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mume na Mke Wazalendo Waliopigania Uhuru: Mr na Mrs Jotam Mwakalinga Mwakajila

    WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini: "Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu walihusika sana kupigania uhuru. Baba akiwa kwenye Rungwe Cooperative na wakati ndio nguvu ya nchi pamoja...
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Pale Mke anakuwa mchepuko wa mume

    Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani...
  17. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Kalamu inavyoweza kumtuliza mume asiyetulia katika ndoa yake

    Wanawake wanapigana vita vingi. Kutafuta mume ni vita, ukimpata mume bado shida zinabaki palepale, mume hatulii, akipata visenti vyote anamaliza nje na wanawake wa kila aina. Pesa zinapotea, afya ya mume inazorota na hatari ya kupata maradhi inaongezeka. Basi mwanamke usiwe na wasiwasi, leo...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni kambi jeshi na mume ndiye mkuu wa kikosi, mume simama katika nafasi yako

    Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote. Ili baadaye ukikosea ujue kabisa kuwa kosa hili adhabu yake ni ipi. Kuna makosa adhabu yake ni kulimwa guard (kulinda night za...
  19. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

    Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji, muwazi na mwenye hofu ya Mungu. Awe na nia ya kuwa na familia. Akiwa na elimu kiasi itapendeza.Umri...
Back
Top Bottom