Natafuta Mume Muislam

Waridi88 kw intro tu nimependa ulivyo mkweli kwani Id name yako inaukweli wa jina lako na umri wako kwa mwaka uliozaliwa.

Ikitokea nafasi ya kua mke wa pili nijuze kwani nimeoa na nina watoto watatu,kwa hiyo ukiwa mke mwenza naongeza mtoto mmoja tu kwako basi!!

Mungu akujaalie hitaji la moyo wako na barka kwa manufaa ya watoto na ustawi wako!!
 
Punguzeni tamaa nyie waislamu
 
A'alkm
Natafuta mume Muislam
Umri 35-45.

Wasifu wangu
- Nina miaka 36
-mpole sana na mcheshi
-nina watoto wawili
Wawili tu sema ukweli bana..hili la.mtoto watakimbia wengi labda ukutane na aliefiwa na mkewe karibun...hili ukimwona live ndio unampa ukweli wa watoto kwa humu mmmh...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom