Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam.
Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona!
Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa...