muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kuwa na Mihimili miwili ya Serikali

    Maoni huru. Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla. Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati kabisa kwamba mihimili wa Bunge haulisaidii taifa, na pengine tungeendelea zaidi Kwa kutokuwa na kundi...
  3. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

    Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  5. JamiiForums Tanzania Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
  7. JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

    Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media === Updates. Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
  9. JamiiForums Tanzania Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania hatuthamini muda

    Nipo hapa Airport Dar es salaam, barabarani nimeona mamia ya magari ya abiria na binafsi, aisee wamesimama tu muda mrefu wamesubilishwa kwaajiri ya misafara ya viongozi wakuu wa nchi. Takribani takika 45 mbele ndio naona kuna ndege zinatua hapa....Inawezekana kabla hata kiongozi hajaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi nashangaa huyu Mwanamke kila Muda namwambia aachane na Mimi lakini anielewi

    Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu. Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin ndo kwanza anafosi niwe naye. Sasa leo Nampa Brock za maana najua yupo humu Jf na anasoma huu Uzi...
  12. JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema...
  14. JamiiForums Tanzania Nauli mabasi ya mikoani zimepandishwa habla ya muda waliotangaza LATRA

    Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya. Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
  15. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  16. JamiiForums Tanzania Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
  17. JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Nimefuatilia Ziara zao hao Act Wazalendo hawana sapoti kabisa. Hata vijiwe vyote muhimu hapa Mwanza wanamponda na kumuona kibaraka wa mafisadi aliyajaa unafiki. Watu wa kanda ya ziwa hawamtaki Zitto kabisa. Angalia hata ziara zao hazina mvuto Zitto anapoteza Muda kabisa. 👇
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto kutumia muda mwingi shuleni, inasaidia au inabomoa nidhamu yake?

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya shule za msingi na zile za awali zikiongezeka, hiyo imeendana sambamba na ongezeko la ratiba ya masomo kwa wanafunzi. Zamani ilizoeleka wanafunzi wanaotumia muda mwingi shuleni ni wale wanaosoma bweni, lakini hivi sasa hata wale wanaosoma ‘day’...
  19. JamiiForums Tanzania Tupia kikosi chako bora cha muda wote duniani

    Wasalaam Nakumbuka nlitengana na mpenzi wangu mmoja kisa , mpira Mpira ni furaha yetu , tuna furaha nyingi sana ila mpira hauna kifani . Mpira unatuumiza sana sometimes pale , timu zetu zinapokumbana na zahma tusiyoipenda Lakini yote kwa yote, Mpira ni muhimili wetu. Nakumbuka msemo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amefanya mahojiano kwa muda mfupi, CHADEMA wamebaki wamechanganyikiwa kabisa, hakika huyu ni kiboko yao

    Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka. Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA. Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa. Hakika huyu Dk siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…