muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapa eneo la Ubungo Kibo(Msewe) mkoani Dar Es Salaam kuna nyumba inateketea kwa moto na hakuna msaada wowote licha ya watu mbalimbali kujaribu kuwasiliana na wahusika wa zima moto. Watu wengi wanaoishi katika nyumba hii ya upangaji wameshindwa kutoa mali zao ndani ya nyumba, baadhi yao wapo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  3. JamiiForums Tanzania Nasa Artemis 1: Majaribio kuanza muda mchache ujao

    MAJARIBIO YA ROCKET YA MWEZINI YATAANZA MUDA MCHACHE Muda mchache kuanzia sasa Majaribio ya urushwaji wa rocket itakayotumika katika safari mbalimbali za mwezini na anga za mbali kwa ujumla utafanywa ambapo tutashuhudia rocket ya Space Launch System ikielekea katika safari yake ya masiku kadhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

    Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo cha mazao ya muda mfupi

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  11. JamiiForums Tanzania Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

    Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    NI MUDA MUAFAKA WA KUINUA VILIVYO VYETU. Utangulizi. Mpaka sasa, kumekuwa na imani hafifu kwa watanzania hasa linapokuja suala la kukubali vitu mbalimbali vinavyotengenezwa au kuzalishwa na raia kutoka nchini. Imani hii hafifu imekwenda mbali zaidi hadi kufikia hatua ya kudharau na kukandamiza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

    Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Dunia

    Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani. Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

    Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa. ============= Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
  18. JamiiForums Tanzania FIFA yatangaza kuifungia India kujihusisha na soka kwa muda usiojulikana

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kulifungia Shirikisho la Soka la India (AIFF) kutokana na mamlaka zisizohusika kuingilia uendeshaji wa soka, hali ambayo inaweka shakani ushiriki wao katika michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake U-17 inayotarajiwa kufanyika hapohapo India...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ya kuutunza na kuutumia muda kwa usahihi ili ufanikiwe kutimiza malengo mbalimbali uliyojiwekea?

    Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza malengo yao kama vile walivotarajia kutokana na sababu tofautitifauti, ikiwemo matimizi mabaya ya muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…