muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  2. JamiiForums Tanzania Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi majira ya saa 7:21...
  3. JamiiForums Tanzania Movies 50 kali za kivita za muda wote

    Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of Glory (1957) 9. Hacksaw Ridge (2016) 10. 1917 (2019) 11. Dunkirk (2017) 12. Patton...
  4. JamiiForums Tanzania TFDA tupieni macho Wilson bakery ya Bunda wanauza mikate iliyokwisha muda wake

    Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi. Kwanza vifungashio vyake vingi...
  5. JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  6. JamiiForums Tanzania Muda wa kufanya application

    Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
  7. JamiiForums Tanzania Muda wa kufanya application

    Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..? Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
  8. JamiiForums Tanzania Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  9. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

    Exception ni wakristo wachache sana kama wasabato wanaoamini bado Mungu huchukizwa na Pombe. Hata ma askofu wakati wa misa hunywa mvinyo takatifu mbele ya macho yetu, sioni ubaya wowote kuwe na min bar makanisani kwajili ya waumini Makanisani kuwe na bar ndogo ila kuwe na sheria mtu apige...
  10. JamiiForums Tanzania Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  12. JamiiForums Tanzania Mrisho Mrisho: Meli zitenganishwe Muda wa kuwasili ili kupunguza foleni ya abiria

    Baada ya Mdau kueleza juu ya kero ya foleni kwenye Bandari ya Dar es Salaam hasa kwa abiria wanaotoka Zanzibar, Mamlaka ya Bandari umeeleza kuwa changamoto hiyo imemalizika baada ya kufungwa kwa mashine mbili kubwa za kukagua mizigo "scanner". Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutumia muda gani kurejea nyumbani baada ya kwenda kutafuta maisha?

    Wanasema Mafanikio ni Mchakato. Ni mchakato unaochukuwa muda mrefu. Now days imekuwa ni moja ya changamoto kwenye jamii na Familia zetu. Watu wanapoenda kutafuta masha wanashindwa kurejea Nyumbani hata kwenye matukio ya ulazima kama vile "Misiba" "Sherehe" na hata mambo mengine kama vile...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  15. JamiiForums Tanzania Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Karia aongezewe muda TFF atake asitake

    Nimekuwa mkosoaji mkubwa wa TFF kutokana na sababu za waamuzi na upendeleo, lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Karia amefanya na ziada kwenye mpira wetu. Amevunja rekodi nyingi kwenye tasinia ya mpira ambazo hazitaki maelezo mengi kuyataja. Kwakuwa amefanya na ziada basi na wadau...
  17. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

    Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania Hamna Maarifa ya Kuendesha Bandari: Ifike Muda Ukweli Usemwe.

    Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza. Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

    Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini. https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Lakini mara nyingi nimekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Vifaa vya Tronic vinaharibika vyenyewe baada ya muda mfupi. Ni dhahiri baada ya kuaminiwa wameanza kuchakachua

    Salam Wanajamvi, Nisiwapotezee muda niende moja kwa moja tu kwenye mada. Yaani nimenunua vifaa vya umeme na kuweka kwenye nyumba zikiwemo sockets, taa na nyaya. Ila ikiwa ni miezi 9 tu tangu kuweka vifaa hivyo yaani baadhi vimeanza kuharibika vyenyewe. Taa zinaungua sana choke lakini kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…