Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo!
Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...