muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?

    Eti Wanajukwaa Hihi, Mchakato wa kubadilishiwa kada hufanyika baada ya muda gani?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  3. JamiiForums Tanzania Muda chid , q chillah % makusudi awilo

    Kuna vitu vinachekesha sana Chid Benz huku na Q Chief nyimbo nzuri ina vina na maono wanaimba no hamna mwenye habari. Kuna wimbo unaitwa "Makusudi" wa Awilo Longomba hamna hata verse moja anaimba zaidi ya kucheza beat,mara umenigusa makusudi,umenipamia makusudi,umenipara makusudi. E bana sebene...
  4. JamiiForums Tanzania Nauguza muda Mrefu nauza friji nipate kodi

    Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  7. JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kupata hela, aya mambo ya hoya hoya yanatupotezea muda.

    Unauza bidhaa gani au unatoa huduma ipi kwa bei rafiki?
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Katambi haina Vision kiasi cha Waziri kupata muda wa kudeal na petty issues?

    Wizara haina muda na utekaji Wizara haina muda na mauaji Waziri hutamsikia akizungumzia mkakati uliopo wa kuzuia na kukamata wauaji na watekaji Wizara haina muda na maslahi ya watumishi wake Wizara huiskii ikizungumzia mikakati ya uokozi licha ya idara ya zimamoto uokozi kuwa choka mbaya...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Habarini za wakati huu wanajamii forum. Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 23.Nimekuja hapa kuomba ushauri nasaha juu la tatizo la kiafya linalosumbua kwa muda wa miaka mitano sasa . HISTORIA YA TATIZO (Nahisi ndiyo chanzo lakini madaktari huwa wanakataa wakidai havina uhusiano) Mwaka 2020...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

    1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
  14. I

    JamiiForums Tanzania MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  15. JamiiForums Tanzania Muda wa kuwa huru duniani, ni mchache sana kuliko muda wa miangaiko

    Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:- Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku. Miaka 70-75 yupo huru Baada ya hapo ni kifo Kwa hiyo, muda wa kuwa huru...
  16. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Tanzania bado haijapata tena mpinzani mwenye nguvu ya kiuchumi na ushawishi wa kisiasa kama hayati Edward Ngowai Lowasa?

    Je, ni kwasababu wapinzani waliopo sasa wameshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchumi na hivyo automatically wamekosa ushawishi na kuaminika kisiasa kwa wananchi? Nini kifanyike walau wawepo wanasiasa wa upinzani Tanzania, ambao hata kama ni wanyonge kiuchumi, basi walau wawe na agenda au...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya vitambulisho kwa watumishi wa Jeshi la Uhifadhi

    Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka mitano bila kuwa na kitambulisho cha kazi. Wahusika wanakwama wapi? Hali hii inawaweka watumishi...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongoflava Dj mix sikiliza hapa.....nyimbo pendwa za muda wote

    https://audiomack.com/nasmiletz/song/dj-nasmiletz-miaka-30-bongo-flava-oldskool-mixcrate zimeandaliwa na dj nasmiletz +255627474141 je kuna noma ani imemiss?? na ipi umeikubali?? sikiliza mpaka mwisho ufurahie na ukumbuke enzi zako
  19. JamiiForums Tanzania Ninampongeza sana Mbowe kuamua kutumia muda wake mwingi kijijini Machame na kujiweka mbali na siasa

    Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza Mbowe kwa sasa yuko wapi baada ya kuporwa chama na mnyampaa? Nadhani ni swali la watu wengi pia. Nimeshangaa kugundua jabali la siasa za upinzani nchini anatumia muda wake mwingi Machame. Yaani hajihusishi kabisa na siasa kwa sasa. Watu wangu kadhaa walio...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa muda Hospitali ya Halmashauri Musoma DC hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu

    Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja. Kila wakijaribu kufatilia wanatishiwa kufukuzwa kazi, wakimueleza Mganga Mkuu na DMO wanaambiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…