AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 14,680
- 25,358
Km hujaelewa uliza ueleweshwe.
Hio ni WhatsApp upande wa Privacy wameweka hivyo nilicheck jana ilikua bado leo boom imo. Nobody.Nieleweshe
Ni nzuri kwa wenye madeni sugu
Nzuri kwa wasiohitaji usumbufu na utoto na majadiliano yasiyo na afya. Imagine niliandika kitu fulani kidogo sana ila image yake ilikua different ndio maana nikasema bora jini lifunguliwe liwekwe WhatsApp, sasa nitatumia WhatsApp km jini ..watu wanagombana sana sababu ya WhatsApp kwanini hujafikiria hilo umefikiria madeni ndio yanayokufanya unaishi mjini?Ni nzuri kwa wenye madeni sugu