muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Ukiambiwa utaje top 3 ya nyimbo bora kwa muda wote utataja zipi ?

    Tangu uzakiwe mpaka unaanza shule ukijumlisha nyimbo zote ulizowai kusikia kuanzia mabata madogomadogo yanaogelea, napenda kuhesabu namba, hadi nyimbo za bongofleva nyimbo za dini zote, nyimbo kutoka tz na nje ya Tanzania. Katika zote ukiambiwa utaje 3 bora utataja zipi Mimi kwa harakaharaka...
  2. ndege JOHN

    Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  3. Vien

    Kuna muda mtu akiniuliza “ntaoa lini?” Kichwani kwangu naona ni sawa na mtu anayeniuliza "Ntapoteza furaha yangu lini?"

    1/ Dunia ya leo, upendo wa kweli ni nadra. Watu wengi wanaishi maisha ya ku-pretend tu. Ukiwa na mtu, akagundua hawezi kupata kitu, huondoka. Hii ndio ukweli wa mahusiano. 2/ Wengi wanafanya ndoa kwa sababu ya pressure ya jamii au familia. Lakini ndani, maisha yao ni siri na maumivu. Wake na...
  4. A

    KERO Taasisi ya TAWA iwafikirie Vijana waongoza watalii (Tour Guides) wanaojitolea muda mrefu bila kupewa ajira

    Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
  5. Waufukweni

    BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  6. C

    Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  7. nzalendo

    Isipopigwa kwa muda mrefu

    Huwa inarudi kwenye upya wake... Kwa hiyo nawashauri muwe mnazitunza.... Pia mkila mboga za majani inaifanya iwe na afya...... Kaika kuiosha usitumie sabuni ...piga maji tu kwa wingi....kwani sabuni inawaua wale bacteria wazuri...... Ile harufu yake ya asili hutupa mshawasha na...
  8. MamaSamia2025

    Orodha ya waandishi bora wa muda wote Tanzania

    Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media. 1. Joseph Mihangwa 2. Ahmed Rajab 3. Edo Kumwembe 4. Jenerali Ulimwengu 5. Maggid Mjengwa 6. Irene Mwamfupe 7. Ayoub Rioba 8. Imelda Mtema 9. Luqman Maloto 10. Julius Mtatiro
  9. Chachu Ombara

    Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  10. Keynez

    Viongozi wa siasa wa Tanzania wanakula wapi bata? Je, ni suala la muda kabla hawajaibuka kina Epstein na Diddy wa Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao. Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
  11. M

    Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  12. RMK Freelancers Agency

    Case study: Matumizi yamepungua kwa 58.1% ndani ya muda mfupi

    True case study! “Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji. Aliniambia ana malengo mawili: 1.Kupunguza matumizi na kuweka akiba zaidi 2.Kujifunza kuwekeza kwenye hisa za Dar es...
  13. A

    KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  14. Echolima1

    Muda si mrefu tutaanza kusikia milio kutoka kwa Hezbollah

    Baada ya Hezbollah kuamua kuingia kichwa-kichwa ku zaidi a Bwana wake Iran tutarajie muda si mrefu wataanza kutoa milio isiyoeleweka. Israel imetuma Kikosi cha vifaru kupambana na magaidi hao huko kusini mwa Lebanon kwa hiyo tutarajie kusikia Milio wakati wowote kuanzia sasa!
  15. A

    KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
  16. A

    Muda wa kurejea kupima H-PYLORI

    Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8 zimeisha hivi natakiwa nikae muda gani ili nirudi tena kuhakikisha kama nimepona?
  17. Robert Heriel Mtibeli

    RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

    Hamjambo wote! 1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke. 2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake. 3. Huku akisema...
  18. secretarybird

    Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  19. loose Nut

    Ni muda wa kuwekeza kwenye mafuta

    Nataka ku trade oil. Huu ndio muda wake. Naombea Iran iendelee kushusha vitu vizito kwenye ardhi ya mudi mafuta yapande bei.
Back
Top Bottom