mtu

  1. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Fikiria kila mtu ni msaliti ila hajagundulika tu,hii itakusaidia kupunguza mshtuko endapo mambo yakienda vibaya

    Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu. Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
  2. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

    Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu. Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
  3. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Bosi kapenda mke wa mtu

    KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili. Wafanyabiashara wadogowadogo walikuwa bize na...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu katiba yao, sheria zao, haki zao na wajibu wao. Kujitolea huku kuwa mwalimu wa somo la katiba, na sheria, haki na wajibu, nimehamasishwa na mtu huyu hebu msikilize mwenyewe...
  5. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

    Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni kitengo / role gani ambayo kazini/ofisini kwenu mnahangaika sana au mlihangaika kumpata mtu wa kuijaza ambaye ana weledi wa kutenda kazi???

    Sisi ofisini kwetu tulihangaika sana kumpata IT aliyebobea ,kila aliyekua anakuja aligundulika kuwa kiazi. Wewe/nyie je???
  7. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Shirika Kuwa na Ufadhili Kutoka kwa Mtu Mmoja Mmoja (Individual Donor)

    Mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yaani, “Non-Governmnetal Organizations” yanapokea ruzuku kutoka kwenye vyanzo vikuu vitatu, ambavyo ni; 1) Taasisi za ufadhili yaani “funding organizations/foundations” 2) Makampuni ya kibiashara yaani “corporations” na 3) Mtu mmoja mmoja yaani “individual...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania HIVI MTU UNAWAZAJE KUSHABIKIA TIMU MBILI KWENYE LIGI MOJA

    Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu duniani amewahi kuwekewa mikono kichwani na wazazi wake wakamwombea jambo bila mafanikio.

    Hello! Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake. Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
  10. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

    Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi. Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote. Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

    Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri. Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee. Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania HAMNA MTU MUOGA KAMA MTANZANIA MIMI MWENYEWE nI MUOGA

    Katika nchi ambayo raia wake ni manyumbu ni tanzania yaani sisi ni waoga sio mchezo tena kama Mimi ndio muoga hatari hatuwezi kuingia barabarani Ili tufe yaani fikiria unaingia barabarani unapambana na askari unachezea kichapo halafu unakufa Ili wachaga wale mema ya nchi aisee Hilo swala...
  13. trudie

    JamiiForums Tanzania Screenshot search history yako tujue ni mtu wa aina gani

    Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa? Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu mwingine akiona anashangaa kumbe fulani huwa hivi. Wengi huwa wanasearch vitu mbalimbali kama mpira...
  14. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  15. Brojust

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu expert kwenye hili jambo la Hallucination (Hearing voices from invisible cretures)

    Shalom Moja kwa moja kwenye mada. Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho. Madakari na...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa mtu wa dini zote na madhehebu yote asivimbe kichwa.

    Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi. Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
  17. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

    Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane . Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia. Sihitaji PESA ila ni kusaidiana. Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu Amekuwa akisaidia watu for years. Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
  19. Joannah

    JamiiForums Tanzania Kero za kudate mume wa mtu

    Hey Weekend kwangu ipo poa sana. Natumaini hata yako imetulia, kinyume na hapo jipe moyo, siku hazifanani na pia hazigandi... Leo shangazi nimeona niongee hili suala kidogo la kudate na mwanaume aliye kwenye ndoa. Ninaongea kwa experience yangu na kwa experience ya kuangalia mahusiano ya...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naogopa sana kuna Mtu akijifanya tu anakupenda au anakusifia basi jua muda wowote tu anaenda Kukutumbua

    Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana Waganga wazuri wa Kwao na alikuwa akimsaidia katika Umafia fulani ila akaliwa nae Kichwa mazima.
Back
Top Bottom