mtu

  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

    Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
  2. Shanily

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuheshimu mtu usiyempenda, lakini huwezi kumpenda mtu asiyekuheshimu

    Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini. Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo. Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu katuchangisha Shs milioni 60 za harusi, nyingi zaidi ya hela alizochangisha Niffer; sijui kaomba kibali serikalini?

    Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

    Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa. Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee. Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa. Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Maafa ya kariakoo Rais hapaswi kulaumiwa

    Mambo vp wakuu.. Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi humu pia hata mitandao mingine. Watu wengi wamekuwa wakimlaumu sana Raisi wa nchi.. Lawama nyingi zikiwa ni kwanini Raisi asafiri wakati Kuna maafa nchini kwake?? Kariakoo waziri mkuu alienda na kutoa maagizo .. sasa Raisi afate Nini?? Je...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ujue Mtazamo wa maombi kwa mkristo ambao utakufanya uwe mchapakazi na mtu wa vitendo vingi

    Isaya 65:24 Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari. Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
  9. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Watu Pori - Nafsi ya Mtu (MC Koba & Chorus)

    WATU PORI - NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio wa...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania "Yani mimi, mtu bila gari, bila kazi ya maana halafu asiwe mrefu mweusi hawezi kunipeleka kwake tukaishi nae. I am not cheap!"

  11. K

    JamiiForums Tanzania Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  12. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Hawa wenzetu sijui hawanaga mishipa ya aibu, mtu anakuomba laki kama anaomba buku.

    Wakuu mnawafanye hawa (KE)
  13. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

    Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

    Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge. Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
  16. REALITY

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Mtu mweusi (Mwafrika)

    Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye blog ya spevot.blogspot.com utakisoma kwa kiswahili na kingereza,na hicho ni BLACK BOOK OF ATUM II /...
  17. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu kujidai haamini uwepo wa Mungu, halafu hapo hapo anaamini dini flani, hii inaitwaje?

    Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa

    Mtu akikupenda swala la kuonana naye na kuwasiliana hamtabembelezani kabisa ila rafiki ukimpenda mtu asiyekupenda mnaweza kukaa mtaa moja au sehemu moja, swala la kuonana mtihani kila siku pruu pruuu wala hana hamasa ya kuonana na wewe na mawasiliano umuanze Akikupenda swala la kuonana na...
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania SMS gani ukiandikiwa na mtu unakereka

    Kuna baadhi ya watu wanekerwa na SMS wanazoandikiwa na ndugu, jamaa, marafiki, wapenzi (mademu)nk. Kuna rafiki yangu anakerwa na SMS zenye herufi 'X' inayokaa badala ya 'S' mfano mtu anaandika xamia xuluhu (samia suluhu), kuna jamaa mwingine anachukia SMS zenye tarakimu/namba mfano 2taonana...
Back
Top Bottom