mtu

  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Huyu Makonda sio mtu wa kawaida

    Pamoja Tuhuma nyingi alizonazo nimemfuatilia historia ya mikutano yake alipokuwa RC dar ,Mwenezi na hiki alichofanya leo , huyu sio mtu wa kawaida . Hata ukisema watumishi wanalazimishwa kwenda ,wanaita na wanafunzi au wanakodi watu toka sehemu nyingine haiwezi elezea . Kwa kifupi huyu ana...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Dr. Janabi akipewa udaktari wa Timu, wachezaji watapata tabu sana

    Asubuhi mboga za majani na maji bilauri 3. Mchana parachichi 1 na kiganja cha karanga mbichi, maji bilauri 3. Saa 11 jioni kachumbari na maji bilauri 3. Imeisha hiyo.
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  4. D

    JamiiForums Tanzania Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu

    Libreville, Gabon Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ... https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima...
  6. Gerald1

    JamiiForums Tanzania ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu kanionesha ndugu Makongoro Nyerere kuwa mtu mkubwa siku za usoni

    Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa? Mungu kanionesha mtu mwenye sura ya uyu ndugu na kuniambia ataenda kuwa mtu mkubwa sio mda ,mtu mkubwa hapo...
  8. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliyefanikiwa kuedit kipengele A (personal information) kwenye mfumo wa maombi ya ajira uhamiaji?

    Nimekwama hapa Naomba msaada kwa anaefahamu.
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Erdogan adhiihirisha tena si mtu wa kumtegemea,Anafanya kinyume na anavyotangaza

    Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

    Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv na ata aibu kijana wa miaka 25 kweli kuna watu wanatia hasira sana can u image
  11. T

    JamiiForums Tanzania Itakuwa nchi haina wazee kama kuna mtu atanyanyuwa mdomo kumjibu Jaji Warioba

    Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu. Jaji Warioba hatupaswi...
  12. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mtu anapigwa misumali ya kichwa na mikononi utaniambiaje ni mkuu mwenye nguvu?

    Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza? Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana...
  14. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba laana, kutamkiwa maneno mabaya huja baadae kumuathiri mtu

    Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu? Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
  15. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Unaoaje mtu hajui kupika wala hataki kukaa karibu na maji?

    Tunajua mkiwa wenyewe mtakula vibandani sasa sisi wageni tukiwatembelewa inakuwaje? je mtatupeleka huko vibandani au mtatuagizia chipsi kwa mangi? halafu mtu uyo gani anaogopa maji au dume hilo? maana navojua hao watu na maji inatakiwa wao na maji, maji na wao yani kama pipa na mfuniko wake
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu anakutawala, anakuibia anakunyima haki yako anakuwa amekuzidi akili na maarifa

    Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja. Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi. Natoa...
Back
Top Bottom