mtu

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

    Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori 1. Kuvaa Yebo na soksi Hapa usiulize sana 2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

    Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  6. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Uzi tayari
  7. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

    Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Vitasa vya mlango kuchezewa na sioni mtu

    Mambo vipi? Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

    Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa. Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
  11. appoh

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio alama za mtu alieathirika na ukimwi kwa macho tu utamgundua

    Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk Hii hutokea kwa wanawake na...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Katavi: Msifungue vituo kabla ya saa mbili, saa kumi askari atasimama nyuma ya mtu wa mwisho.

    Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo. Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania. Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kati ya Biashara nyingine, Voda-wekeza, UTT na Mabenki kwa wale wazoefu ni kipi unaweza mshauri mtu awekeze ?

    Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 . Najua biashara ina risk zake , Voda, UTT kwa kiasi chache Tunawajua wamiliki . Mabenki iko wazi umiliki wake . Kwa...
  16. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mtumishi wa TRA aliyetishia Bastola na kujeruhi mtu Club 1245 yapigwa Kalenda hadi Januari 21, 2024

    Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

    Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake. Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro. Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mtu mmoja waokotwa mto msimbazi

    Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo. Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Oa au olewa na mtu wa udhaifu wako yule wa matamanio yako ili ujivunie

    Hakikisha unakuwa na mtu wa udhaifu wako yaani kuna raha nikisema kuna raha niamini kuna raha jamani. Oana na wa aina yako Ukimuwaza unapata hisia, huchoki kumtazama, unatembea naye njiani kwa kujiamini. Hutopenda ajihisi mpweke au umtese kihisia Ndugu yangu usikubali kuambatana na mtu asiye...
Back
Top Bottom