mtu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ahofia wahuni ku-edit kinasaba cha mtu

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  3. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  4. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

    Salam wakuu. Ninahitaji mtu wa kunisaidia kupata matunda yake. Mwenye access nao naomba anicheck DM. Nina uhitaji kwa ajili ya matibabu.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata muongozo wa Sera ya Afya kwa usahihi. RC Mtaka ametoa agizo hilo wakati wa kikao cha Kamati ya...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote ambae ni mke wa mtu anapoamua kuchepuka ni Ishara kuwa yuko kwenye hatua za Kufubaa

    Mwanamke makini anaejitambua na mwenye mvuto na vionjo vitamu hawezi kuchepuka. Ila ukiona anachepuka ujue ndio basi tena ashakuwa scraper usimshangae. Pang Fung Mi
  7. oooza

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kubaki Private institution au niende nikafanye kazi ya mtu binafsi

    Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali. Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu amewai kujua kilefu cha neno HB?

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi mnafanyaje kuishi na mtu anayenuna?

    Wakuu salaam kwenu. Imebidi niombe maoni yenu kwani Kuna tabia za ajabu ambazo kuishi nazo yataka moyo. Tumepiga kambi kwa kazi Fulani ya miezi sita Mimi na jamaa zangu watano,hivyo tupo jumla watu sita, wote wanaume. Tunaishi maisha ya furaha kama marafiki au niseme ndugu kwani hakuna...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala

    Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi. Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo. Madhara Mtu mwenye umri wa miaka 80...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sio Kijana Tena, ni mtu wa makamo 37 years

    Karibu sana Mdogo wangu Diamond katika Umri wa utu uzima, Sasa wewe jijuwe sio Kijana Tena, Kwa maana Umri wa ujana mwisho ni miaka 35. Kama ilivyo Kwa mwanamama Jokate ambaye naye si kijana Tena. Hivyo, kwenye makongamani ya vijana diamond ataalikwa kama mtumbuizaji, na si kama Kijana wa...
  13. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kila kwenye kundi la watu, Kuna mtu huniambia nafanana na mtu aliyewahi kumuona mahali au anayemfahamu

    Ni matumaini yangu mpo salama kabisa. Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera. Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anayekutana na hii...
  14. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Jinsi ya kujua ya kuwa mtu uliye naye kwenye mahusiano hana mapenzi na malengo na wewe, akili kichwani mwako

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini...... Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe...... Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
  15. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kununua usafiri kwa mtu (used) kunaweza kuwa na mikosi ya kupata ajali?

    Habarini Waungwana, kutokana na changamoto ya usafir, ivi Karibuni nilimshirikisha rafiki yangu kua nataka nijichange ninunue Pikipk used, TVS (angalau namba D). Yeye alishauri Bora ninunue MPYA. Aliniambia Used sio Nzuri, zinaweza kua ma mabaa ama mikosi, Hujui kwanini ameiuza huenda imegonga...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu! Rafiki wa kweli katika dunia hii ni hela (pesa/money)!

    Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela na kuifanya ikae na wewe. Ukishinda huu mtihani basi kila kitu utakachokitaka katika dunia hii...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

    Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded PSSSF Dodoma tofautisheni msaada na Haki ya Mtu

    Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka. Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Unatumia kwa muda gani gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumwachia mtu mwingine?

    Wakuu unatumia kwa muda gari unayomiliki kabla hujaiuza au kumpa mtu mwingine? Je ni mwaka 1 au miaka 2, 3, 7, 10?
Back
Top Bottom