mtu

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Siku moja utagundua kuwa hakuna mtu aliyekuwa akikutazama na ungeweza kufanya chochote unachotaka

    Hakuna alietaka kuwa impressed na wewe kuwa na demu mkali. Hakuna aliekuwa akikushangaa au kukusimanga kisa una degree lakini ukaamua kujishikisha katika vibarua wakati wa kutafuta ajira. Hakuna alie kuwa affected na aina ya mitupio yako ya nguo mtaani. Hakuna aliekuwa anakuona mshamba au...
  2. Introver

    JamiiForums Tanzania Kila mtu na amche baba yake na mama yake

    (Mafunzo maalumu kwa watoto na walezi). Kama wewe ni mtoto basi jifunze haya, na kama ni mzazi basi pia jifunze haya na pia mfunze mwanao… Biblia imetumia neno “kumcha” kuonyesha msisitizo wa jambo hilo, jinsi lilivyo la msingi. “Kumcha mzazi” sio “kumwabudu” bali ni kumpa heshima ya hali ya...
  3. ITR

    JamiiForums Tanzania Mme wa mtu jana kayatimba milioni 5 zamtoka kizembe

    Jana nilirudi mapema kutoka mishe mida ya saa 12 nikajimwagia maji nikaingia mtandaoni kuperuzi kidogo mpaka mida ya saa moja nikaenda kusali nikarudi nikakaa sebuleni kucheki move hapo imesha gonga saa 2 usiku. Sasa kipindi naendelea kucheki move nikasikia kama zogo nyuma ya...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  5. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  6. CFX

    JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Si kila mtu wa kusaidia, si kila mtu wa kukopesha

    Inaweza kuonekana kwa baadhi yetu kuwa ni imani za kufukirika na mambo ya kijinga yasiyo na maana kabisa, lakini haya mambo yapo na kuna watu yamewaathiri kwa kiwango kikubwa Si kila aombaye msaada ni mhitaji kweli na si kila mtu wako wa karibu hasa baadhi ya ndugu na marafiki waombao misaada ya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tabora Utd vs Yanga: Mdau wa Tabora Utd atishiwa na mtu asiyejulikana kuhusu kuihujumu Yanga

    Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini. Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo ni sikukuu ya wajinga isio rasmi. Ni jambo la kijinga uliwahi kulifanya au kushuhudia mtu akifanya hadi leo ukilikumbuka unasikitika au kucheka tu

    😂😂😂
  10. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

    Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ni bahati mbaya au makusudi kuacha nguo ya ndani mahali ulipokaribishwa kwa mtu kwa shughuli ya faragha?

    Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo? Ni sahihi kweli kufanya hivyo? Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani? don't stamp authority scientifically plz kwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  13. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Mtu na kujitambua

    MTU NA KUJITAMBUA. Watu wengi siku za Leo,wamekuja na shauku ya kutaka kujitambua,je twajua au hatujui maana yake?. Utambuzi wa mtu upo wa Namna nyingi sana. Kuna kujitambua kifikra,Kuna kujitambua kiroho ,Kuna kujitambua kiakili,Kuna kujitambua kimwili nk nk. Sasa ninachotaka kuongelea ni...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Malawi: Kupokea shahada ya Heshima hakumfanyi Mtu kustahili Cheo cha "Profesa" au "Daktari."

    Baraza la Taifa la Elimu ya Juu (NCHE) limewaonya vikali wananchi wa Malawi, likifafanua kuwa kupokea shahada ya heshima hakumfanyi mtu kustahili moja kwa moja kutumia cheo cha "Profesa" au "Daktari." Katika taarifa iliyotolewa jana, NCHE ilisisitiza kuwa shahada za heshima ni tuzo za ishara...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi unapomuomba mke wa mtu number ya simu akakupa anakua na maana gani?

    Wakuu Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Hivi mfano hapa Tanzania tuseme kila mtu alie juu ya miaka 18, aende jela kwa makosa aliowahi fanya, jela zitatosha?

    Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya mapenzi na wanafunzi 2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency 3)Forgery 3)Kuzini na maharimu 4)Wizi...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je uliwahi kupenda mtu hadi ukamchukia?

    Pamoja na uzee wangu, wanangu, nina swali dogo. Je umewahi kumpenda mtu, ukamsifu, ukamtukuza, ukajikomba hata kujidhalilisha halafu ukamchukia? Nauliza hivi kutokana na ninayoshuhudia kuhusu wapendwa wanene wetu. Wanasifiwa hata pale wanapopaswa kulaumiwa. Wanadanganywa hadi wanadanganyika...
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

    Naomba jibu wanafunzi Na mashavu yenyewe ni haya pembeni ya mdomo au kuna mengine
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
Back
Top Bottom