mtu

  1. Ntu Mpyaaa

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia za mtu aliekidhi vizezo vya kuitwa mbumbumbu:

    Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi; ""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba, Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  3. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  5. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

    Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili. Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo? Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo. Hatuombei mambo haya...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumpokonya mtu mpenzi?

    Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi. Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi...
  7. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

    -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
  9. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana. Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo. Lahaula si akatuma kweli picha...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mtu anasema ridhiki badala ya riziki?

    Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa...
  15. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

    Natafuta Mwalimu wa Graphic Design 🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo 🔹 Mshahara: Makubaliano 🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam) 🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku 🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu) 🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano 📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
Back
Top Bottom