mtu

  1. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania ZIJUE sababu za kwanini haipaswi kuilinganisha na mtu mwingine?

    Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa ustawi wako wa kihisia na kisaikolojia. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini ni muhimu kuepuka tabia hii: * Kila mtu ni wa kipekee: * Kila mtu ana safari yake ya kipekee, yenye nguvu zake na udhaifu wake. * Kulinganisha maisha...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unazingatia unapoanzisha mahusiano na mtu mtandaoni ili kuepuka kutapeliwa?

    Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online: -Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall -Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela -Mtu anaeniuliza taarifa zangu binafsi, nablock -Naangalia kama taarifa zake ziko kwenye mitandao mingine ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  4. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Heshimu kila mtu, watu ni walewale - Dotto Biteko

    Anaandika Mo Mlimwengu. Heshima si utumwa ni miongoni mwa hekaya za wahenga. Waliona umuhimu wa heshima kwamba kumuheshimu mtu haikufanyi uwe mtumwa wake, lakini bado wakaongezea kwamba 'Heshima ya mtu ni utu wake' unapoheshimu wengine unajijengengea heshima yako mwenyewe. Naibu Waziri Mkuu na...
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

    Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi wakuu inawezekana mtu kuijiandikisha kupiga kura zaidi ya kituo kimoja na mashine ikakubali

    Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  8. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Huwa sibembelezi mtu

    Wakuu NO REFORM........NO......👂 Binafsi Sina muda wa kubembeleza mwanamke au mshikaji ukizingua nikakutema ujue ndo imetoka hiyo hasta salamu sihitaji kabisa Hasa wanawake nikimtongoza akazingua mara mbili nafuta namba na kila kumbukumbu yake then naendelea na mambo yangu hasta tukikutana...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuwa dalali au mtu wa madini

    Ipo kazi nzuri kati ya hiyo kwa mtu ambaye ana ari ya kupambana kutoboa kirahisi.changamoto ninayoijua Mimi kwenye madini ni kwamba lazima uyajue madini lazima uyajue aidha uyasomee au uzoefu.na hata udalali uwe mzoefu na mwenye NGUVU ya ushawishi MPAka kuachiwa kuendesha mchongo. All in all...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Kila mtu ataweka title yake mwenyewe

  11. P

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  12. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  13. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  14. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mtu ameniblock na mimi nika mbock

    Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani. Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anayefanyakazi mgodini(Miner) anatumia hela zake, punguza ushauri na wivu

    Wakuu Ni Vyema Na Haki ushauri wako ukajikita zaidi katika kujenga na kuboresha Familia yako. Sio sahihi kutoa ushauri kwa mtu usiyekuwa na mchango wowote ule katika uchumi wake kama hajakuomba umshauri. Nitajikita sana kwa wafanyakazi wa mgodini maarufu kama Miner.Hawa watu wanasemwa sana...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anayejua kifanyike nini ili Mashariki ya Kati kutulie?

    Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie. Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  18. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais umewezaje kuruhusu toleo jipya la noti ya TSh. 10,000/= ili mtu mmoja atimize ndoto yake!

    Baada ya kukabidhiana toleo jipya la noti ya shs.10,000/= kati ya Benki kuu na Waziri wa fedha, waziri alikuwa na furaha isiyo na kifani kiasi akututangazia kwake ilikuwa siku ya kipekee kwa kutimiza ndoto yake ya utotoni ya kuwa siku moja itafika saini yake itakuwa kwenye noti ya Tanzania...
  20. Ntu Mpyaaa

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo tabia za mtu aliekidhi vizezo vya kuitwa mbumbumbu:

    Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi; ""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba, Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
Back
Top Bottom