mtu

  1. Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  2. Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

    Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili. Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo? Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo. Hatuombei mambo haya...
  3. Umewahi kumpokonya mtu mpenzi?

    Kuna watu wanafanya kwa makusudi kukomoa wengine, ila wengine inatokea tu na unajikuta hauna jinsi. Kuna dada kula mtu mtaani alijua ni mpenzi wa jamaa fulani, lakini siku nakutana nae nikamwambia “alipofaidi jamaa panatosha, ni zamu yetu” dada akasema mbona hata siko nae? Eeh nikamwambia basi...
  4. Mnajuaje location alipo mtu kwa simu?

    Hivi huwa mnajuaje mtu yupo sehemu fulani kwa kutumia location ya simu?Nataka kujifunza hili somo naona huyu mdeni ananichezea.
  5. Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

    -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya...
  6. Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana. Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo. Lahaula si akatuma kweli picha...
  7. Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  8. B

    PreGE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  9. M

    Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  10. Inakuaje mtu anasema ridhiki badala ya riziki?

    Watu wanaotamka ridhiki badala ya riziki wanakuwa na matatizo gani ya ulimi au ubongo?
  11. Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

    Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa...
  12. Kijana tafuta hela mambo ya mke wa mtu ni nadharia za watu masikini na ambao hawajapevuka akili.

    Hapa duniani huwa hakuna mke wa mtu hilo jambo ni nadharia za binadamu wenye upeo mdogo wa akili. Maana kitaalamu sio rahisi mwanaume akae na mwanamke mmoja bila kuchipuka. Sex = energy ngono ni nishati au umeme hivyo ukimuona mke wako Ana umeme mdogo unashauriwa kwenda kutafuta umeme kwa...
  13. Kuna kipindi redio nyingi mfano EFM zilifikia steji mtu yoyote sababu maarufu naye ni mtangazaji

    Bado hii tabia hipo wengi wanafanya mfano wasafi fm kwa baba levo. Haya haya tuliyaona kwenye redio ya EFM.Mfano mtu kama masanja tasnia ya habari katoa wapi?. Mpoki naye nilishawai kumsikia kwenye maredio mpaka gigy money. Hivi vyombo vya habari bila kuzibitiwa kuna siku wachambuzi wa siasa...
  14. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  15. Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

    Natafuta Mwalimu wa Graphic Design 🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo 🔹 Mshahara: Makubaliano 🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam) 🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku 🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu) 🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano 📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam...
  16. U

    Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  17. M

    Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  18. Serikali iatamie wahitimu wenye ujuzi kwa rasilimali wezeshi mtu mmoja mmoja na si vikundi chini ya usimamizi ya timu ya wataalamu wa halmashauri.

    Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
  19. Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  20. Hivi sifa ya mtu kutumikia Ubungw ni Kuwa na likitambi au mtumbo Mkubwa?

    Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu. Fyuuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…