mtu

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Kapotolo namtafuta huyu mtu jamani

    Kama una id mpya plz nijulishe ila nakutafuta mwaka wa tatu sasa. Please njoo pm. kapotolo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawezaje kuona ni sawa mtu kukaa mahabusu tangu Juni 2017 hadi Desemba 2019 na kuachiwa huru na Mahakama kuwa hana hatia?

    Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi. Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
  4. JamiiForums Tanzania Matiko akiri kumiliki silaha

    Matiko akiri kumiliki silaha Najiuliza swali fikirishi kwamba ni nini cha ajabu huyu mtu kumiliki silaha, kwa hadhi yake kama mbunge? ===== Matiko akiri kumiliki silaha Alidai mahakamani wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kuhojiwa na Jamhuri dhidi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mwili wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini waopolewa

    MWILI wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha Likoni maarufu kama ‘Likoni Ferry’ jana saa nne na dakika 20 mjini Mombasa umeopolewa. Polisi limemtaja mtu huyo kuwa ni John Mutinda mwenye umri wa miaka 46 na wakati mwili wake ukiopolewa kutoka baharini, mkewe Ruth Mueni...
  7. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba 'Team Antony Joshua' tutambuane mapema kabla leo mtu hajaenda kufa ulingoni na ubingwa kurejea kwake

    Leo Andy Luiz atajuta kumfahamu bondia kipenzi cha GENTAMYCINE Antony Joshua. Kwa wale ambao 'mnabeti' tayari nimeshapewa matokeo na 'mtaalam' wangu kutumia nujumu / tabiri zake ambapo 'Kibonge' anapigwa kwa 'KO' moja hatari sana raundi ya 2 au ya 3 tu. Kifupi leo Bondia Antony Joshua anaenda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimwengu wa leo inafaa mtu masikini kuwa kiongozi?

    Binafsi sipendelei mtu aliyeshindwa kujipambanua mwenyewe katika uchumi wake kuwa kiongozi wa watu japo anaweza kuwa na sifa kadhaa kama uadilifu nk. Lakini kiongozi anatakiwa kuwaongoza watu kutoka hali duni kwenda hali nafuu au ikiwezekana kuwa matajiri hapa inabidi yeye mwenyewe awe...
  9. JamiiForums Tanzania CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

    Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar. Bw. Kheri amesema...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    Tanzania imeondoa Art 34(6) kwenye sheria zake inayoruhusu mwananchi mmoja mmoja na NGO's kuishitaki kwenye mahakama ya Afrika. Je huu ni uoga au imeona inafanya makosa mengi. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ilianza rasmi shughuli zake huko Addis Ababa, Ethiopia mnamo Novemba...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi 'kushare' na mke au mume wa mtu, unajisikiaje ukikutana na mumewe au mkewe?

    Kwa upande wangu sijawahi kutoka na mke wa mtu isipokuwa yuko mmoja ambaye alinisumbua sana, yaani ni yeye ndiyo alikuwa ananitongoza lakini nimekuwa nikitumia siasa fulani hivi kumkatalia. Tatizo ninalolipata ni kwamba kila nikikutana na mumewe huwa najihisi kukosa amani na uhuru. Mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia mtu, NGOs kufungua kesi dhidi yake Mahakama ya Afrika

    Serikali ya Tanzania imeondoa haki ya mtu na asasi za kiraia (NGOs) kuweza kufungua mashtaka dhidi yake katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na za Mataifa, Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International limegundua. Kuondolewa kwa haki hizi kutawanyang’anya watu na asasi...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Winston Churchill alivyoweza kutumia nguvu ya utulivu kuwa na ufanisi na uzalishaji mkubwa kuliko mtu yeyote yule

    Kwenye juma la 47 la mwaka 2019 tumejifunza kutoka kwenye kitabu kinachoitwa STILLNESS IS THE KEY kilichoandikwa na Ryan Holiday. Kupitia kitabu hicho mwandishi ametuonesha jinsi ambavyo nguvu ya utulivu inaweza kutusaidia kuwa na maisha bora sana. Ametupa mbinu za kuweza kujijengea utulivu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Nateseka sana kwa tukio hili, ukipata nafasi ya kusaidia mtu msaidie kweli

    Leo nimeingiza kumbukumbu mbaya sana katika kichwa changu, na inanitesa sana! Nilikuwa mjini katika mizunguko ya hapa na pale, ghafla alianza kujongea mtu aliyeonekana kwa haraka haraka kuwa ni wale wanaookota chupa za plastiki ili kujipatia riziki. Aliposogea karibu zaidi nikagundua kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Muswada unajadiliwa Australia, kosa kisheria kumlaghai mtu kwa kusudi la kushiriki nae kimapenzi

    Ikiripotiwa kwenye blog ya daily “If the proposal was to become law, telling someone you love them when you don’t, pretending to be rich and well connected when you are not, claiming educational achievements that you don’t possess, denying a complex sexual history – say, with same sex partners –...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti na CUF, waasisi wa Chadema hawakuwa wanasiasa bali wafanyabiashara wasio na lengo la kushika dola. Mbowe ni mtu sahihi kukiongoza

    Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema. Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
  17. JamiiForums Tanzania Alitamani awe nani huyu mtu?

    Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana, Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho...
  18. JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  19. JamiiForums Tanzania Dhamira ya kuua upinzani ni kwa faida ya Chama Tawala au Ubinafsi wa mtu mmoja?

    Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
  20. JamiiForums Tanzania Ushawahi kumuuguza mtu mwenye matatizo ya akili?

    Habari JF, Ningependa kujua subjective experiences zenu kuhusu kichaa. Ushawahi kuumwa kichaa? Ushawahi kukumbana na kichaa? Ulijuaje huyu ni kichaa? Wewe au familia yenu mshawahi kuwa na kichaa? Mlienda wapi kutafuta msaada? Hospitalini? Kanisani? Kwa Mganga? Alipona? Alipona kabisa, au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…