mtu

  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sina cha kujivunia katika umri huu kwa hiyo nimepiga marufuku mtu yeyote kuniita mzee wala kuniamkia shikamoo

    Nakutana na mijitu ina mafanikio makubwa kuliko mimi, wengine ni viongozi kabisa wanang'ang'ana kuniamkia shikamoo, za nini? Kama unaniheshimu nipe hela! Yaani nyie mkishafanikiwa mnataka tu kudhalilisha wenzenu waonekane ni wazee waliofeli? Mkome kabisa. Tukikutana nikakusalimia 'mambo vipi'...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

    Wakuu, Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora? Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au kuiendesha chini ya kampuni? Faida na hasara zake ni zipi? Hebu wazoefu fungukeni.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Elly: Siyo kila mtu anatakiwa avae maski bali wanaohudumia wagonjwa na wanaohisi wameathirika

    Kuna mjadala wa jinsi ya kujikinga na virusi vya Corona unaendelea muda katika luninga ya Channel Ten. Mtaalamu Dr Elly Josephat kutoka MAT anasema kuvaa maski kwa mujibu wa maagizo ya WHO ni kwa wale wanaohudumia waathirika na wale wanajishuku au kuhisi kuwa wameathirika. Na kuna jinsi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

    Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

    Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

    Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Rais Magufuli ni mtu anayetambua mamlaka yake na hakubali kushindwa kwa lile analoliamini

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema Rais Magufuli ni mzalendo kwa maneno na matendo, ni mtu anayetambua mamlaka yake na asiyekubali kushindwa katika lile analoliamini. Mama Samia alikuwa akijibu swali la mwandishi wa BBC aliyetaka kujua yeye kama msaidizi namba moja wa Rais Magufuli...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

    Unakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph. Sasa watu kama hao dawa yao...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia mpya ya kuzika mwili wako au wa ndugu yako

    Kampuni moja ya Marekani imetoa taarifa za kina kuhusu namna ya kuzika mtu kwa njia ambayo ni rafiki kwa mazingira. Utafiti wa majaribio ulifanyiwa maiti za watu walitoa idhini kabla ya wao kufa, umeonesha kwamba tishu laini mwilini huvunjika vunjika kwa njia salama na kuoza kabisa baada ya siku...
  11. JamiiForums Tanzania Dalili za mtu anayekaribia kufa ambaye sie mgonjwa

    1. Kuonea watu aibu 2.Haangalii watu machoni 3.Akitembea huangalia chini 4.Wasiwasi usio na sababu 5.Hofu 6.Mpweke wa nafsi muda wote 7.Mabadiliko ya ghafla ya tabia. (Aweza kuwa mkali au mpole) 8.Hupenda kukamilisha Jambo alifanyalo haachi kiporo Mara nyingi wanahisi Kuna Jambo kubwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

    Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Pius Msekwa amesema kuwa Membe asijione kuwa yeye ni maalum sana, bali anapaswa kufuata taratibu zote ambazo wenzake waliofukuzwa kabla yake wanazifuata. Amesema Membe siyo mtu wa kwanza kufukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu kwani...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anapata maumivu kwa mkewe/mmewe kuchepuka na si yeye kuchepuka na mme/mke wa mtu?

    Salaamu kwa wote, ili swala mara nyingi la kupata maumivu ya mioyo hata kuvunjika mahusiano linatokea kwenye mahusiano na ndoa nyingi ambapo mmoja wapo anapotambua mwenzie kachepuka. Presha ya kuchukuliwa mke au mume ni kubwa sana hasa ukiwaza alichofanyiwa huko alikochepuka. Wakati huo huo...
  14. JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu yeyote

    Joseph Kabila Aliwahi Kuelezea Kuwa Kipindi Anaishi Tanzania Aliwahi Kushushwa Kwenye Basi Porini Huko Mkoani Iringa Kwa Sababu Hakuwa na Nauli Ya Kutosha. Alijaribu Kumuomba Konda Amshushe Angalau Mahali Penye Mji Lakini Hakumuelewa. Akamtelekeza porini. Akatembea kwa Mguu Hadi Nyololo Ndipo...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Je haya ni madini?

    Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
  16. JamiiForums Tanzania Faida za mtu anaekupenda wakati wewe humpendi

    Akupendae humpendi,umpendae hakupendi. Ni vile watu kutokujua tu,ukitaka penzi la kweli mkubali mtu anaekupenda,kwa sababu atakua mtiifu,mvumilivu,msikivu kwako na ,anayekujali. Atakupa penzi lote kwa sababu ana mapenzi ya kweli.Haijalishi hata Kama wewe humpendi,jizoeshe kuwa nae tu. Lakini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

    Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma. Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk Nimpongeze sana Dr Munga...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

    salama ndugu zangu. Nilikuwa nampenda msichana mmoja ila hali imegeuka ghafla hataki mahusiano na Mimi. Nimefatilia nikagundua ana mtu main fine ambaye naona kanizidi vitu vingi. Nilimpa mda nikidhan wataachana lakini naona mwaka unakata wako pamoja. Duh nmeumia kinoma ila ndo hivo.
  19. JamiiForums Tanzania Mtu mmoja awa albino baada ya kutumia Metakeflin

    Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino. Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Pale mtu wa kawaida unaposhindwa kutumia fursa iliyo jitokeza ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Star wa Hollywood

    Salam ziwafikie wana MMU wote, Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone. Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke au penzi, Penzi ni pacha wa upweke, huzuni na furaha. Mapenzi yanapo vamia roho ya mtu lazima atii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…