Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,005
- 9,872
Hafidh Damson Masokola (57) alikuwa katika na rangi yeusi kama watu wengine lakini mwaka 2010 alipougua malaria na kuanza kutumia metakeflin alibadirika na kuwa albino.
Masokola, mkazi wa Tabora anadai kuwa hakuwa anajua kuwa ana mzio na Sulphur, madini ambayo yako mengi kwenye dawa hizo alizotumia.
Madiliko yalianza taratibu kama ngozi yake kukosa ungavu. Aliporudi kwa madaktari alikosa kupata dawa ya kuweza kumrudisha katika hali yake ya mwanzo lakini walimpa ushauri wa kutumia chakula bora kama mboga za majani na matunda.
miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ilipelekea mabadiliko yaliyomfanya kuwa mtu mwenye Ualbino na uchunguzi wa madaktari ulithibitisha kuwa mwili wake unawingi wa madini ya Sulphur
Masokola kwa sasa anatumia sunscreen ambayo inatumiwa na albino kwa kuwa ngozi yake humuuma sana akipigwa na jua.