mtu

  1. JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtongoza mmama mtu mzima au aliekuzidi rika kimuonekano?

    Ni Ijumaa nyingine tena wadau bado tunaendelea kupambana na haya maisha tafu leo nimekuja na jambo apa mezani tulidiscuss kwa kina Unajua katika life hisia hazina adabu hata kidogo na kamwe siwez kushangaa kumwona babu anatongoza kidada nk lakini kwa bibi kumtongoza kijana hii haijakaa sawa...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

    Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu toka kwa yoyote anayetumia IGT Insurance

    Habari za leo wakuu, Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu Mimi natumia hiyo bima na nilipata ajari mwezi wa 12 - 2019 na mambo yote ya kesi yakaisha mwaka huu January. But mpaka leo October hiyo bima haijalipa kitu chochote. Waliagiza fundi wao akaja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
  6. JamiiForums Tanzania Kila mmoja akitimiza wajibu wake atakuwa amesaidia kujenga nchi nzuri

    Uchaguzi Mkuu wa 6 kwa mfumo wa Vyama Vingi Tanzania utafanyika tarehe 28/10/2020 siku ya Jumatano na kwa Mara ya kwanza unafnayika siku ya Kazi ambayo kwa umuhimu wake Serikali imeaamua kuifanya siku hii ya Uchaguzi kuwa ya Mapumziko--hili linahitaji Pongezi nyingi sana maana litaleta hamasa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

    Wakuu, Niko hapa Korogwe ambapo Kesho tutakuwa na kampeni ya mkoa kwa mgombea wa CCM ndugu Magufuli. Wananchi wamejitokeza kwa wingi sana kumsalimia barabarani. Watu ni wengi mno. Nimeamini kuwa kiongozi anayeshughulika na matatizo ya watu, atapendwa na kuheshimiwa. UPDATES 20/10/2020 0805...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu. Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kura ya mtu iwe siri, yasijirudie ya mwaka 2015

    Kuna Jambo nililiona wakati wa kupiga kura mwaka 2015 Afisa Uchaguzi kabla ya kunipa karatasi ya kura ambayo ilikuwa na serial number aliandika namba hio katika fomu kuonesha amenipa karatasi ya kura namba ngapi. Nilishtuka na najua wengi hawakuona hilo kwa sababu ni jambo ambalo huwezi...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Mtu ukiwa na hela ya kueleweka ama kama unataka kuwekeza kweli kwa watoto wako, wasomeshe international schools au shule zenye mitaala ya kimataifa kama Cambridge, IB nk. Hizi shule zenye mitaala ya kimataifa zinawajenga watoto kwenye analytical skills, reasoning, logic, creativity, competence...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ashawahi kupata mkopo halopesa HALO MKOPO?

    Kama ilivyo mitandao mingine tigo nivushe,voda songesha pia nimeona halo mkopo,lakini hawa halo mkopo...Mbona kila siku wanadai huduma hii itakujia punde...Vp tatizo ni nini...Finca mnafeli wapi
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu ni Jeshi la Mtu mmoja, ni Kama Batalioni nzima

    Tundu Lissu anavyoshambulia utadhani ni jeshi lenye askari wengi kiasi cha kuunda batalioni nzima. Ndiyo, inaeleweka chama chake kimempa nyenzo za watu na rasilimali chini ya kampeni yake; lakini ukitizama upande wa jeshi analopambana nalo ni dhahiri kwamba jemedari huyu anaongoza vyema kundi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Miundombinu kila mtu anaweza kujenga, ugumu wa kazi ya Urais uko hapa...

    Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo: 1. Kuwaunganisha watu, 2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao 3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua. 4. Usalama wa raia, 5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme 6. Uhuru kwa kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mh. Lissu naomba ukishinda uikuze elimu yetu angalau mtu akifika chuo kikuu aongee Kiingereza kwa ufasaha

    Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania. Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui. Wapo watakaosema mbona Urusi na...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo

    Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo. Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii. Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii. Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha uwanja mpana, ifikie hatua kila mtu aishi kwenye njia yake ambayo yeye anaona sahihi

    Poleni na majukumu wananzengo Mambo ambayo binafsi nakereka sana sema kwa sababu ya system nashindwa kuamua na sina pa kupereka Wazazi kuforce vijana wao tuoe, kila mtu ana akili yake bhana, muache mtu aishi anavoona yeye sahihi Kuona watu wakipinga starehe za watu mfn pombe, ganja na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Rwanda kwa sekta ya Kilimo inampa mtu matumaini sana kwa fursa hizi

    Fiscal incentives offered by Rwanda when you invest in Agriculture: Duty-free importation of all inputs Tax exemption for agriculture equipment 50% reduction in corporate income tax, if you are a registered investor exporting 50% of the turnover of products produced in Rwanda 7-year tax holiday...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mama Kijo Bisimba alaani kauli za Magufuli juu ya Mwanamke. Asema kauli zake hazimfai mtu aliyekalia kiti cha Ofisi ya Rais

    Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake. Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri kwa system: Msimwonee haya mtu, akishindwa achaneni naye na akishinda atangazwe

    Heshima kwenu wakuu" system" Sasa ni dhahili nyie waendeleazaji na waongozaji wa Taifa mmeona ukweli ulipo. Sasa mnaona nini watanzania wanataka. Ninyi mna macho na masikio mawili mawili mnasikia na kuona kuliko mtu yeyote. Mwaka 2015 mlitusaidia kuondokana na Lowasa japo alionekana kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…