mtu

  1. Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
  2. Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  3. UTATOA USHAURI MTU ANUNUE GARI GANI

    Habari wana jf tujadiri kidogo wataaramu wa magari na watu ambao mshawahi miliki magari ni ushauri upi utautoa kwa mtu ambae anataka kununua gari ya kutembelea na isiozid 25m,ni gari gani anunue na kwanini
  4. Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio yake lazima apigilie msumari katika "Nidhamu"

    Kila mtu akiulizwa kuhusu Siri ya Mafanikio lazima azungumzie kuhusu Nidhamu Nadhani nidhamu inayozungumziwa hapa ni Nidhamu ya Pesa so vijana wanabidi kulifahamu ili Mapema.
  5. Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

    Hellow guys, Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
  6. Tafakari: Miezi 9 ya mahusiano na mke wa mtu pasipo kujua

    Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa kawaida. Nikaamka na kukutana na watu wanne, mzee mmoja, vijana wawili wakiwa na askari. Swali lilikuwa...
  7. Q

    Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  8. Elon Musk sio tajiri namba moja duniani kwa sasa

  9. Je, ni mkono wa mtu?

    Sina haja ya kusalimia, natumaini kila mmoja aliepata nafasi ya kuona uzi huu anapumua. Kuna kipindi kama binadamu tunapitia magumu mpaka unajiuliza kosa lako ni nini? Je, wewe ni mkosefu kushinda wengine? Je, Mungu amekuacha ujaribiwe? Au je kuna mkono wa mtu kwenye magumu unayopitia? Ni...
  10. Waziri Kabudi: Tanzania haijazuia Maandamano wala Mikutano ya Kisiasa!

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi. Kabudi amesema kuwa inatambua umuhimu wa mikutano ya siasa na pindi utaratibu utakapokamilika...
  11. Unajiona unapendwa kisa umewekwa Profile picture Whatsapp na kila mtu anaiona? Ijue mbinu chafu ya kuwaingiza kingi wawili bila wao kujua

    Aisha ana wapenzi wawili, Moja wao ni Ally na huyu ndie boyfirend wake wa tangu kitambo na anampa penzi moto moto. Wapili ni Jose, Kijana flani yupo Taasisi flani nzito ama mfanya biashara mwenye mkwanja mrefu, kijana wa totoz, Aisha yupo kwajili ya kukusanya mtaji tu hapo, siku akiachwa awe...
  12. Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive

    Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano. Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
  13. Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  14. Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

    Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
  15. S

    Goli la Messi: Uchambuzi na utangazaji wa soka ni jambo lisilo na misingi ya kuzingatia bali ni kila mtu na mtazamo wake

    Katika mechi inayoendelea muda huu, mshambuliaji Messi kafanya kazi ya ziada iliyopelekea Argentina kupata bao la kuongoza baada ya kutoa pasi nzuri kwa mfungaji. Kazi kubwa aliyofanya Messi ingefanywa na mchezaji mwingine, sifa zingeenda kwa mfungaji wa bao(mmaliziaji) na sio alietengeneza...
  16. P

    Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

    Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza. Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
  17. Ushuhuda: Nani aliwahi kuona mtu aliyeuza ardhi ya ukoo baada ya kugawana wanafamilia alifanya maendeleo?

    Habari wanajf, binafsi nimekuwa na maswali mengi nikijiuliza nmeshuhudia watu wengi wanaouza maeneo baada ya kugawana aidha Mara baada ya wazazi wao kufariki huwa hawafanyi chochote. Jamani Nani amewahi ona tofauti na Mimi kwamba mtu kauza ardhi iliyokuwa ya baba yake kajenga nyumba nzuri?
  18. Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

    Kuna Mtanzania mmoja aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje mara akapewa jina la kachero mbobezi by now yupo chali kisiasa, aliwahi kuja na kauli ya uchawa akisema "... katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye kiroba" Huko Dodoma; mwili wa mtu uliokotwa ukiwa katika kiroba...
  19. Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…