mtu

  1. JamiiForums Tanzania Leo mtu mmoja atolewa katika kifusi cha udongo mjini Antakya nchini Uturuki; yupo hai baada ya miezi 3 tangu kutokea tetemeko la ardhi

    Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu. ======== Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamua nihame Mji baada ya mke wa mtu kuniletea Msala

    Ni hivi, week iliyopita nilikwenda Tabata kumtembelea brother wangu anaeishi huko na familia yake. Tukiwa pale Tabata tumeketi mbele ya kibaraza kidogo kilichopo mbele ya nyumba ya brother wangu, ghafla nikaona jamaa mmoja na mwanamke ambae namfahamu ni mke wa mtu wanashuka haraka haraka na...
  3. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Akutwa na kichwa na viungo vya siri vya mtu kwenye mfuko

    JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
  4. JamiiForums Tanzania Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani?

    Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani? Kwanini huwa vinafuatiliwa?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  6. T

    JamiiForums Tanzania Namna nyingine ambayo kikundi, taasisi au mtu binafsi unaweza kuitumia kukuza biashara yako

    Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule ule. Wengi wetu imani kubwa tulijiwekea ni kuongeza walaji wa bidhaa au huduma zetu ili kuweza kufikia...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kumpatia Mtu Mtaji na Kumasaidia kukuza Biashara yake

    Habari za wakati huu wadau Ufuatao ni muendelezo wa mada niliyoandika siku kadhaa zilizopita yenye kichwa - Jinsi ya kushiriki katika Uwekezaji Huria (Venture and Angel Investment) Mada hii ni mtiririko wa mada kadhaa ambazo huwa naziandika mara kwa mara kwa lengo la kuchangia katika...
  8. JamiiForums Tanzania Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  9. JamiiForums Tanzania Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

    Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya" Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyenzi Mungu ananituma kusema; Kama unaweza kumtuma MTU kwenda kuua akakutii, ipo siku MTU huyo atatumwa kukumaliza na atatii;

    Kwa binadamu yeyote miongoni mwetu ambaye anaamini kuishi kwake litakuwa Bora Kwa kuwaondolea mbali na uso WA Dunia wale asiowapenda basi namweleza wazi kwamba; watu wale wale anaowatumia kuwaondolea mbali wenzake ndio hao hao watakaotumika kumwondoa yeye au familia yake. Watu wale wale...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi ishi na mtu ambaye akilewa ni Kiingereza tu?

    Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
  14. JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitaka

    Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
  15. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  16. JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  18. JamiiForums Tanzania Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

    Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi. Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  20. JamiiForums Tanzania Bishoo ni mtu wa aina gani?

    Wasalaam, Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo. Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…