Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026.
Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele.
Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote?
Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla.
Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Habari wana-JF,
Kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba wala kiwanja.
Sio ustaarabu huo!
Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!.
Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba.
Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu.
Mimi binafsi simpendi na si...
Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema"
Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za wale ambao nilitumia muda mwingi nikiwa nao katika kipindi hiki nimevisahau kabisa, na mara kadhaa...
Nilichogundua Binadamu huwa anakuaga na mipango Mingi akiwa Hana hela.
Mfano back the days Mimi na classmates zangu tuliwahi kupanga Mambo ya kuoa nk but now hao classmates wapo Sehemu nzuri wengine katika Taasisi kubwa na wengine wafanyabiashara so Hakuna hata mmoja kaoa na hawataki kusikia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane.
“Kama watu...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane.
“Kama watu...
Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kuelimika zaidi kutoka Kwenu Wepenyaji wa Milangoni ( kama GENTAMYCINE ) na Wamiliki hasa na Milango yenyewe husika ambayo Kiasili inasemeka huwa inapitika muda Wowote na kwa Mzigo wa aina yoyote ile.
Mwaka 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (whistleblowers) na mashahidi (witnesses)
Watoa taarifa (Whistleblower) wanabeba jukumu muhimu katika kutengeneza Dunia yenye usawa. Utoaji wa taarifa husaidia kulinda Fedha za Umma, kuchochea...
Sizungumzii misukule kama ile ya mikoa ya kanda ya ziwa ambapo watu huzika mtu halafu akaokotwa baada ya muda miji ya mbali.
Nazungumzia vile hujamuona mtu fulani au mzee wa eneo bila kuuliza au bila kupata habari zake kiuhakika baadae ukamuona siku ya siku kwenye mishughuliko yake.
Vile vile...
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.
Mtu...
Dkt Slaa kapokwa hadhi ya ubalozi
Askofu Niwemugizi alipokwa hadhi ya uraia
Askofu Zachary Kakobe akapokwa hadhi ya uraia wake
Generali Ulimwengu akapokwa hadhi ya uraia wa nchi yake
Sasa hizi siasa ni za maendeleo au kukomoana? Je, viongozi mjao mna la kujifunza ili kesho ya watanzania iwe...
Tena nawaambieni tu ikiwa mtu alipangiwa kuwa tajiri atakuwa tu, sio mpaka aajiriwe, na sidhani kama kuna tajiri alieajiriwa, matajiri wengi ni wajasiriamali, poleni utumishi na poleni tamisemi, mimi nipo hai tena mwenye afya njema ninakula ninachokitaka, ninavaa ninachokipenda.
Kama mlitegemea...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.