Vipi kama nahitaji kuuza Figo moja nipate pesaUnabakiwa na figo 1, ikipata hitilafu kidogo ni shida hiyo.
NB: Kama hautoi figo kumpa mtoto wako baki na figo zako.
Kuliko kuuza Figo njoo tukate Vidole vya Miguuni tukupe hizo fedha unazotakaVipi kama nahitaji kuuza Figo moja nipate pesa
Mnapatikana Wapi?Kuliko kuuza Figo njoo tukate Vidole vya Miguuni tukupe hizo fedha unazotaka
Shingap kidole kimojaKuliko kuuza Figo njoo tukate Vidole vya Miguuni tukupe hizo fedha unazotaka
Tuko makumbusho Mkuu, Kama uko serious semaMnapatikana Wapi?
Unauza bei ganiVipi kama nahitaji kuuza Figo moja nipate pesa
Niko serious mkuu, naishi Dar ubungoTuko makumbusho Mkuu, Kama uko serious sema
Hy kheri tutaipata lini Sasa, watu tushachokaMsikubali kukatwa vidole pliz, Kuna jamaa yangu Moja wa r chuga, Huwa hana kidole kimoja nahisi ni hayo mambo pliz acheni Allah sw atawajalieni kheri, muwe na subra, jamaa amekatika kidole kimoja na maisha hana achaneni nao
Afya yako ni utajiri tosha kuliko fedha unazotafuta.Vipi kama nahitaji kuuza Figo moja nipate pesa
Kaka tunajikaza kisabuni, tutafanyaje sasa?Hy kheri tutaipata lini Sasa, watu tushachoka
Sasa mtu akiwa marehemu si na viungo vyake vyote vimekufa au hujui hilo?Nadhani ingekuwa sahihi kungekuwa na utaratibu wa kutumia figo za marehemu, kuliko kutoa figo kwa mtu aliye hai kumpatia mgonjwa.
''Muda wa Kuishi (Viability): Figo zinaweza kuhifadhiwa na kubaki salama kwa ajili ya kupandikizwa (transplant) kwa muda wa saa 24 hadi 48 baada ya kifo, ikiwa zitaondolewa na kuhifadhiwa vizuri kwenye kifaa maalum cha ubaridi.''Sasa mtu akiwa marehemu si na viungo vyake vyote vimekufa au hujui hilo?
Marehemu kakubali kutolewa Figo zake? Ethics zinakataa''Muda wa Kuishi (Viability): Figo zinaweza kuhifadhiwa na kubaki salama kwa ajili ya kupandikizwa (transplant) kwa muda wa saa 24 hadi 48 baada ya kifo, ikiwa zitaondolewa na kuhifadhiwa vizuri kwenye kifaa maalum cha ubaridi.''