Wakuu,
Katika uzi wangu uliopita niliuliza wazazi wapo kundi gani kwenye malezi ya watoto na digitali, kama wataruhusu watoto kutumia simu kwa kuwapo mwongozo au kuwa wakoloni na kuacha wakikua mpaka chuo ndio watumie simu.
Nilishangazwa na baadhi ya majibu wakisema kwa mtoto wa kiume haina...
Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake za umeme, chakula,vocha na kadhalika ambazo zimeashiria upo tayari kujitoa kwaajiri yake na unataka...
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo.
Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
Tunawashutumu watoto wa kiume waliobadili jinsia na kuwa na tabia za kike(mashoga)lakini tunashindwa kutafiti chanzo cha wao kuwa na hiyo hali.
Naamini tukipata muda wa kufanya utafiti asilimia walau 80 ya vijana hawa ni wale waliopelekwa boarding schools utotoni mwao wazazi wakiwa busy na...
No ya watoto wa kiume Tanzania inazidi kupunguza ukiondoa vifo ila hata uzaliwaji wa watoto wa kiume umekuwa mdogo sana na hii kupeleka hata taifa siku za usoni kukosa nguvu kazi ya taifa lenye wanaume shupavu kama wazazi wetu walio tutangulia.
Zipo njia kazaa tunaweza kuzitumia kumpa nafasi...
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv.
Huyu dada ni singo mama...
Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao
Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia..
Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU.
Anàandika, Robert Heriel
Shahidi
Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama...
Na Norberth Saimoni
Chanzo:NSPCC
Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
Salam Wakuu,
Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao.
Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
Kwani hatuna vijana wa kiume walioacha masomo kwa kusababishiwa na wazazi au walezi wao hata wakajikuta wamepotea mtaani?
Katika miji na majiji vijana wa kiume wanafanya kazi ya kukata nyasi za mifugo, kuuza kahawa kwenye mabirika, kusafisha vioo vya magari na wengine wapo kwa ajili ya kufanya...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt.Khalfany Haule amesema taarifa ya uchunguzi iliyofanywa kuhusu sakata la Mtoto kugeuka jiwe Musoma imethibitisha bila shaka kuwa hakuna aliyezaa jiwe wala hakuna Mtoto aliyegeuka jiwe bali Amina Abdallah aliyemuahidi kumzalia Hamis Mtoto wa kiume kisha akamzalia wa...
Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike.
Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
Wazazi mmekuwa bize sana walahi, imani ya kwamba mnawatafutia watoto wenu ili wasije kuteseka mnakosea sana maana mwenye uwezo huo ni Mwenyenzi Mungu pekee. Mnapamnana na bado hali ni ile ile, tumezaliwa ili tusaidiane.
Watoto wa kiume wamearibikiwa kwa sababu wazazi baadhi hawana hata hofu ya...
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.
Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.