JESHI la Polisi wilayani Chato mkoani Geita, limemfikisha mahakamani Kazimili Dotto, akituhumiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo, ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji na Kata ya Makurugusi wilayani hapa, anadaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wa...