Mtoto wa miezi 11 afariki Dunia baada ya kulazimishwa kula mchele

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,869
2,000
Niko hosptali moja hapa Goba naona kilio na simanzi vimetawala.

Nilipouliza baadhi ya ndugu wakasema dada wa kazi alikuwa akimlazimisha mtoto kula mchele ukaingia koo la hewa.

Walipomfikisha wakakuta mtoto bado anahangaika, Hospitali wakajaribu kumsaidia ndipo wakatoa punje kadhaa za mchele wakati huo mama mzazi alishauliza umemlisha nini akajibu uji na maziwa alioachiwa.

Akiwa mapumziko akisaidiwa na hewa mbadala mtoto alikata roho(rip)

Mungu awatie nguvu familia ile naamini haikuwa mapenzi ya dada kufanya hayo kwa makusudi.

Rip Baby Boy
 

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,869
2,000
That's why I don't dream to have beki tatu
Nduguuu wala usiseeme hivyo kuna mazingira kaka mama kazi baba kazi utamwachia bibi n KUWAOMBEA SNA kila.Mara SHETANI Mara NYINGI huwatumia sana na Mbayaa ZAIDI WAZAZI wamesahauu hata KWENYE MAOMBI wale n part ya familia yakoo..ukifungua mango moja n shidaa..
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,465
2,000
yawezekana mtoto mwenyewe ndio aliye kula mchele baada ya beki 3 kumuachaniza karibu na mchele sizan kama alimlisha ila hakuwa makini kumchunga
mafunzo kwa wasichana wa kazi ya muhimu hasa kwa wanao achiwa watoto.

pia si vizuri msichana anayeachiwa mtoto kufanya kazi zingine zaidi ya kumwangalia mtoto tu

akiwa na kaxi nyingi attention kwa mtoto inakuwa ndogo.Mtoto aweza jidhuru nk
 

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,377
2,000
Imewahi kutokea hapo hapo Dar mwaka 2012.

Ile tabia ya kumbana mtoto mdomo na pua ili anywe uji,iligharimu maisha ya mtoto.

Msichana wa kazi alimlazimisha mtoto kunywa uji na akahakikisha kikombe cha uji kimeisha,mara kaona mtoto amelegea.Aliwajulisha majirani kisha wakampigia simu mama wa mtoto akiwa kazini.Lakini alipofika hospitali jitihada za kumuokoa zilishindikana.Ilionekana uji umeingia njia ya hewa,jambo ambalo ni hatari kabisa.

Nawaonya kina mama kuwa tabia ya kumlazimisha mtoto kunywa uji kwa kumkaba koo,ni hatari mno kuliko wengi wanavyodhani
Hapo hata ka angekufa kwa kunywa uji mngesema ,kafa kwa kulazimishwa kunywa uji

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

kanuga

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
391
500
Mwandiko sio wa pididy huu
Nduguuu wala usiseeme hivyo kuna mazingira kaka mama kazi baba kazi utamwachia bibi n KUWAOMBEA SNA kila.Mara SHETANI Mara NYINGI huwatumia sana na Mbayaa ZAIDI WAZAZI wamesahauu hata KWENYE MAOMBI wale n part ya familia yakoo..ukifungua mango moja n shidaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom