Jinsi Baba na mtoto wanavyowazianaga

Busara ziro

Member
Dec 2, 2019
63
56
Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA "loooh..!! Ningekua nakula maisha tu... Yaani we acha Halafu kuna kipindi MTOTO Anawaza "dingi akifa tu nauza nyumba" yaani kumbe mda huu dingi nae anawazia ufe ili apangishe chumba unachokaa!!
_LIFE IS NOT FAIR
 
Acha uchoko. Kama umekosa soko usishobokee watu usiowajua. Nani kaanza kum-quote mwenzake mpaka uniambie nisije anga hizo? Acha uduanzi waki wewe.
sasa usipende mazoea ya kidemu, wewe unaniletea umama unafikiri inakaaje sasa! angalia sana, sikunyingine utakuja kutongozwa!
 
Life bwana kuna muda unawaza daaah..!! "hivi kwa mfano BABA Angekuaga MO DEWJ sahvi maisha mtelezo tuu!! " Wakati huohuo baba nae unakuta anawaza hivi mfano "MWANANGU angekuaga SAMATTA "loooh..!! Ningekua nakula maisha tu... Yaani we acha Halafu kuna kipindi MTOTO Anawaza "dingi akifa tu nauza nyumba" yaani kumbe mda huu dingi nae anawazia ufe ili apangishe chumba unachokaa!!
_LIFE IS NOT FAIR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom