Herode wa Bongofleva anamtafuta mtoto ambae amezaliwa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,098
27,068
Herode anamtafuta mtoto ambae amezaliwa.

Herode alifadhaika Sana moyoni, kusikia mfalme Yesu amezaliwa katika Bethlehem nchi ambayo Herode aliitawala.

Mtoto mfalme alie tabiriwa kuchukua ufalme wa Bongo Fleva, amezaliwa usiku wa Jana tarehe 14 March 2020 @ Mlimani City
 
Ndo mana bongofleva haikui kwa kua naashabiki maandazi kama nyie msanii akikua kidogo tu mnaanza kumfananisha na domo na ndo apo wanapopotea wengi yani wanaweka limit as if domo ndo kipimo cha mafanikio ya bongofleva afu sasa kibaya zaid wanapita mulemule alimopita yeye ndo wanapofeli zaid.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna mijitu ni mijinga sana yaani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom