mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

    Watu wa Jamii Forum Salaam, Naitwa Mfukuza Ndoto, Nina umri wa katikati ya ujana naishi mkoa fulani kanda ya kati. Basi bwana mnamo mwaka fulani nikiwa na 20+yrs nilitokea kumpenda binti fulani toka nyanda za juu kusini, binti huyo alikuwa mwanafunzi wakati huo katika chuo fulani hapa mjini...
  2. B

    Umasikini ni mbaya: Mtoto wa miaka 9 achomwa moto kwa tuhuma ya kuiba karanga Shinyanga

    Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linamshilikilia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Christina Mwagi (29) kwa tuhuma ya kumjeruhi kwa kumchoma moto sehemu mbalimbali za mwili wake mtoto wake mwenye umri wa miaka 9 akishirikiana na mme wake (baba wa kambo) Yohana Michael (34) kwa tuhuma za kuiba...
  3. Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Mwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti...
  4. Riwaya ya Kijasusi; Mtoto wa Rais

    Matairi meusi ya ndege ya shirika la ndege la kimataifa la Kenya (Kenya airways) yaligusa taratibu katika ardhi ya uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, jijini Dar es salaam. Abiria wengi walianza kushuka katika ndege hiyo kwa kutumia ngazi ndefu nyeupe iliyotokea baada ya...
  5. Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
  6. Usafi wa kibana kitovu cha Mtoto

    Baada ya mtoto wako kuzaliwa, mrija wa chakula toka kwa mama utakatwa na kubanwa na kibana kitovu. Mfunge nepi mtoto wako ikiwa chini ya kitovu, ili kibana kitovu kipate hewa na pia kisipate mkojo. Epuka kumuogesha mtoto wako mpaka kibana kitovu kitakapodondoka. Hakikisha kibana kitovu...
  7. Baba, mtoto matatani kwa tuhuma za kuuza dawa za Serikali wilayani Newala

    Mtego uliowekwa na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA) Kanda ya Kusini umefanikiwa kumnasa Jamaly Sad akiuza dawa za Serikali. Taarifa ya TMDA inaeleza kwamba Sad amenaswa kwenye mtego huo Januari 31, 2021 wilayani Newala na alikuwa akiuza dawa za Serikali za Mpango wa Uzazi. Dawa hizo ni...
  8. Mtoto wa mkeo asipokupenda unafanyaje?

    Imetokea na huwa inatokea mtoto wa mkeo hakupendi. Umeamua kuishi au kuoa mke ambaye hana kazi ana mtoto mmoja wa kike au wa kiume mwenye umri wa miaka 4 sasa mkeo anajaribu kumwambia mtoto kuwa wewe ndiye baba yake au baba wa kambo mtoto hataki na ukijaribu kuwa karibu na yeye hakubali...
  9. Fahamu namna nzuri ya Mama Mjamzito kulala ili kulinda uhai wa Mtoto

    Ujauzito ni mtihani mgumu maana anayoyapitia mwanamke ni mazito. Anashindwa wakati mwingine kula, kulala, kutembea yani kwa ujumla kuishi maisha yake ya kawaida kabla ya ujauzito wake ni changamoto na mtihani mkubwa. Kikubwa sasa huwa atalalaje,hasa anapokuwa kileleni mwa ujauzito wake.Namna ya...
  10. Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

    Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits extended to former presidents. But according to legal experts, under the laws currently in effect, Trump...
  11. J

    MALEZI: Aina za Kutelekeza Mtoto

    Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi anaweza kufanya hivyo." Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha kati ya umasikini na kutelekeza...
  12. L

    Je, matibabu kwa mtoto wa jicho yapo?

    Habarini waungwana Ni kwa takriban 5yrs now tangia nifahamiane na mshkaj m1 ambae yuko na tatizo la mtoto wa jicho, tatizo linazidi kuwa kubwa yaani mpaka december inawez kuwa hatari zaidi. Then, naomba kujuzwa kama tatizo hili linatibika, na niwapi ambapo yapo hayo matibabu na pia ni kwa...
  13. Je, ni uamuzi sahihi kwa mzazi kumuadhibu mtoto wake mbele ya wageni/mkiwa ugenini?

    Habari zenu ndugu zangu wa humu JamiiForums Je, ni uamuzi sahihi kumuadhibu mtoto wako mbele ya wageni/mkiwa ugenini? Unaweza kumchapa mtoto mkiwa mmetembelea kwa watu? Utamuadhibu pale pale au utasubiri mpaka wageni waondoke kwanza/mkirudi nyumbani? Mimi niliwahi kuponea chupuchupu kupigwa...
  14. Unadhani kupata mtoto ni kitu kikubwa sana

    Haya leo nirudi tena kwa ndugu zangu ambao wamehangaika kupata mtoto. Kwa wanawake huona kuwa mtoto huwa ni mokozi wa ndoa zao, inaweza kuwa kweli kwa kuwa mahusano mengi huvunjika kwa kukosa mtoto Lakini zikumbukwe ndoa nyingi zimeingia matatizoni kwa kuwa na mtoto kwa kuwa mara nyingi...
  15. Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

    Mzuka wanajamvi! Ni hivi unamchukua waifu ama demu wako mnaenda mbali ama maporini huko uliposhaanda na kujenga nyumba. Una hakikisha umenunua msosi wa nguvu na mahitaji yote yatakayowatosheleza miezi miwili. Pia huko mnapoenda unahakikisha kuna fensi na geti kali. Kabla hamjaingia humo...
  16. E

    Mwanamke akikupenda anaweza kukupatia mtoto asiye wako

    Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo. Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
  17. Ni mapema kiasi gani unaweza mpima mtoto DNA?

    Habari wataalamu wa Masuala ya Afya. Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu lenye uhakika wa kitaalamu zaidi. Kama haiwezekani, basi ni muda upi unakuwa ni sahihi kiafya kumpima...
  18. Rafiki yangu amepinda mgongo kila siku ili familia yake iwe na maisha bora ila leo kagundua mtoto sio wake

    ..... Nyuzi ifutwe ..... Please delete Moderator
  19. Hivi baba mlezi ana haki kwa mtoto aliyemlea

    Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…