mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeona mtoto anakojoa lakini mkojo hautokei kwenye chululu

    Wakuu kwema?? Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint Yaani kachululu kake kamesimama Tu kamenyooka hakatoi kitu ila mkojo unatoka Kwa chini kama mwanamke.... Na nyie mmeelewa kweli nilichokiona??
  2. S

    Gari anayotumia mtoto wa Mwigulu ndiyo inayonifanya tarehe 29/10 nikafie barabarani kwenye maandamano

    Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!! Potelea pwete, kifo kiliumbwa. Nisipokufa kwenye maandamano nitakaifa kwa ajali ama nitakufa usingizini. Tarehe 29 0ctober tutakinukisha!
  3. Hatujapoa ya mtoto wa Mombo yanakuja ya Abduli

    Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali. Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni...
  4. Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  5. Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

    Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo. Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
  6. Tangu Jana ajue niko USA mtoto amekua msumbufu ananisalimia mara 7 kwa kutwa

    Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu wazee wa kuchana anga!!. Sasa iko hivi...kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani...
  7. Mbunifu wa mavazi mbobezi Giorgio Armani amefariki September 4, 2025 akiwa na umri wa miaka 91 bila mke wala mtoto

    Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi. Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
  8. Aliyemnywesha pombe mtoto anasakwa na polisi

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi. Misime amesema tukio hilo...
  9. Kama mzazi imeniuma, kuna yeyote anamfahamu huyu mtoto?

    Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam. Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
  10. Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao. Moja yao wapo hapa JF. Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
  11. Fasheni ni kila ovu kulinasibisha na abduli mtoto wa samia

    Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
  12. Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  13. Kim Ju Ae mtoto wa Kim Jong Un ni mtoto mwenye uwezekano mkubwa" wa kumrithi Kim Jong Un

    Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake. Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto watatu. Hata hivyo Kim ni msiri sana kuhusu familia yake, alimtambulisha mkewe kwa umma baada ya muda...
  14. Mtoto wa Jomo Kenyatta anayebeba boksi Marekani

    Nimefuatilia hii hadithi, nadhani ni kweli kuwa jamaa huyu ni mtoto wa hayati mzee Jomo. https://www.youtube.com/watch?v=B9GsiVtTRek
  15. M

    Ni jambo la fedheha uwe na gari au pikipiki lakini mtoto anafika miaka 14 hajui kuendesha

    Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia. Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu. Mwaka una wiki 52 na siku 365. Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
  16. Nawezaje kuzuia makengeza /malyenge kwa mtoto?

    Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini naona kama macho yake hayako sawa! Kuna mtu kaniambia unamuwekea poda chini ya macho itarekebisha….Lakin napata wasiswas Nimejaribu kugoogle mtandaoni lakini naona kama njia zao zipo complicated!! Ushauri ULIOBASE KWENE EXPERIENCE NI BORA ZAIDI
  17. Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  18. J

    Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  19. Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi. Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…