Mtoto wa Jomo Kenyatta anayebeba boksi Marekani

Mtoto wa Jomo Kenyatta anayebeba boksi Marekani

Wamefanana tu
Na mimi nilidhani hivyo tu, lakini naona wanafanana sana.

1756697672657.png
1756752980687.png
 
Kenyatta alikuwa na watoto wangapi ? Namfahamu Uhuru Kenyatta only
 
Kenyatta alikuwa na watoto wangapi ? Namfahamu Uhuru Kenyatta only
Alikuwa na watoto wengi ila wanaojulikana ni wale aliozaa na mama ngina tu. Jomo alikuwa na wanawake wanne: mke wa kwanza alizaa watoto wawili, mke wa pili alikuwa Mwingereza na alizaa naye mtoto mmoja, mke wa tatu alizaa mtoto mmoja na akafariki wakati anajifungua mtoto huyo, ambaye ilibidi alelewe na mama wa kambo, mke wa nne ndiye Mama Ngina ambaye alizaa watoto wanne. Pamoja na hao watoto nane, Kenyatta pia alikuwa na nyumba ndogo nyingi sana ambako alipata watoto wa nje kadhaa.

Uhuru Kenyatta amezaliwa miaka ya sitini tu lakini mtoto wa kwanza wa Jomo Kenyatta alizaliwa mwaka 1920 kabla Nyerere hajazaliwa!
 
Back
Top Bottom