Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Wakuu kwema??
Ni wakiume ( ni around 4-6yrs ),. Ilibaki kidogo nimfukuze alivyoanza kuchuchumaa maana nilijua anataka kunya .. Hakakuniona Kwasabu ya tint
Yaani kachululu kake kamesimama Tu kamenyooka hakatoi kitu ila mkojo unatoka Kwa chini kama mwanamke....
Na nyie mmeelewa kweli nilichokiona??
Kitoto kina miaka 12 lkn kinasukumwa kwenye ndinga ya milioni 500 kina dereva na mlinzi pembeni. Kodi zetu zinatapanywa kwa maslahi ya wachache. Shubamiti!!!
Potelea pwete, kifo kiliumbwa. Nisipokufa kwenye maandamano nitakaifa kwa ajali ama nitakufa usingizini.
Tarehe 29 0ctober tutakinukisha!
Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali.
Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni...
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo.
Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu wazee wa kuchana anga!!.
Sasa iko hivi...kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani...
Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi.
Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi.
Misime amesema tukio hilo...
Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao.
Moja yao wapo hapa JF.
Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe
Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua.
MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
Kulingana na shirika la kijasusi la Korea Kusini, Ju Ae ndiye anayetarajiwa kuwa mrithi wa babake.
Ju Ae, anaaminika kuwa mtoto wa pili wa Kim Jong Un na mke wake, Ri Sol-Ju, wakiwa na watoto watatu. Hata hivyo Kim ni msiri sana kuhusu familia yake, alimtambulisha mkewe kwa umma baada ya muda...
Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia.
Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu.
Mwaka una wiki 52 na siku 365.
Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini naona kama macho yake hayako sawa!
Kuna mtu kaniambia unamuwekea poda chini ya macho itarekebisha….Lakin napata wasiswas
Nimejaribu kugoogle mtandaoni lakini naona kama njia zao zipo complicated!!
Ushauri
ULIOBASE KWENE EXPERIENCE NI BORA ZAIDI
Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia.
Namuuliza...
Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure.
Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu.
Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza.
Hivi karibuni kumekuwa na...
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.
Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.