Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.
Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects...