Naomba kujuzwa Dawa ya usingizi kwa mtoto mwenye utindio wa ubongo

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,571
5,347
Habari zenu Waungwana,

kuna mtoto mmoja wa kiume anamiaka 9 ni mtoto mwenye Utindio wa Ubongo, Huyo mtoto amekuwa hapati usingizi kabisa,Je mwenye kutoa ushauri juu ya dawa za kumpatia ili kuweza kupata usingizi ni nini.

Ushauri wenu ni muhimu sana
 
Mkuu huyo mtoto ni wa kwako? Au mtoto wa mtu mwengine? hebu funguka sema kwa uwazi tupate kukusaidia mawazo na dawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom