Mtoto hupewa jina ndani ya siku ngapi mara baada ya kuzaliwa?

Finder boy

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
608
150
Salamu! Napenda kufahamu mtoto hupewa jina siku ya ngapi mara baada ya kuzaliwa?

Je, ni siku ya kwanza, au siku yoyote?

Msaada wenu tafadhali katika hili.
 
Mimi niliandaa jina la kiume akaja wa kike, halooo nilikaa WIKI NZIMA BILA JINA, kila wakiniuliza jina niliwajibu subirini..baada ya wiki nikaja na jina
 
Back
Top Bottom